Mfalme_wa_Nyika
JF-Expert Member
- May 24, 2023
- 683
- 1,581
Braza hawa watu ni wana roho mbaya sana na uwao yaani ukiwa kabila lingine yaani utateseka meruUmefanya research kwa wameru wangapi?
😢😢Braza hawa watu ni wana roho mbaya sana na uwao yaani ukiwa kabila lingine yaani utateseka meru
Wameru hata kenya wana hilo kabira la wameru, na hizo tabia ulizoziongea hapo ni exactly the same na wameru wa kenya, hata muonekano wa wameru wa kenya utadhani ni wachaga, i think ni same tribe sema welihamahama kitambo wengine wakahamia upande wa kenya.Nakumbuka nilihamishwa kikazi kipindi fulani na kukaa katika wilaya ya Arumeru, halmashauri Meru, aloo sinawahi kukutana na sampuli la kabila hili la wameru aiseehawa jamaa kiboko!...
Yaani wameru ni kabila la hovyo yaani wana tabia zakifala sana kuishi nao hawa jamaa inahitaji ubabe na akili kubwa....
Kwanza wana ujinga wa ubabe wakifala yaani kila ugomvi utakuta mwanaume anakimbilia ndani kutafuta panga, kubabake kuna fala moja alitaka kunizoea akaniletea tabia zake za kimeru, si akawa naenda kufata panga, mimi nikakata mti aisee nilimcharaza bakora mpaka asahau njia ya kwenda kwao kufata panga...
Wameru ni wa hovyo sana yaani pia hawa watu ni wabinafsi mno na wachoyo yaani wao chao chao ila chako wanataka kiwe chao, nenda arusha uishi nao uone yaani hawastaarabiki kabisa yaaani mmeru wa seela, sing'isi awe wa tengeru au usa river au momela, maji ya chai wote vichwa vyao maji....ujinga mwingi....
Nimezunguka mikoa mingi ila hili kabila hapana nimewanyooshea mikono....kizuri chao ni mademu tu,
Aisee wanawake wa kimeru ni wazuri balaa ila tabia ngumu kama nguna ya dona.
yani mabinti wa kimeru wanajiskia hao, kuna shoga angu mmeru woii[emoji28]Madem wa kimeru ni wagomvi sana vita mda wowote [emoji23][emoji23]
Wameru wa Kenya wapo karibu na wakurya.Wameru hata kenya wana hilo kabira la wameru, na hizo tabia ulizoziongea hapo ni exactly the same na wameru wa kenya, hata muonekano wa wameru wa kenya utadhani ni wachaga, i think ni same tribe sema welihamahama kitambo wengine wakahamia upande wa kenya.
Lazima wajiskie Tz hii kuna mademu wakali zaidi ya mademu wa kimeru?yani mabinti wa kimeru wanajiskia hao, kuna shoga angu mmeru woii[emoji28]