G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,654
- 8,708
Nani alikudanganyaLazima wajiskie Tz hii kuna mademu wakali zaidi ya mademu wa kimeru?
Nani alikudanganyaLazima wajiskie Tz hii kuna mademu wakali zaidi ya mademu wa kimeru?
Wewe bado hujitambui, hivi inajua ubinafsi wa Wanyakyusa? Hivi unajua taasisi zilizoja Wanyakyusa mpaka ikabidi Serikali iingilie kati? Uliwahi kuishi na Wahaya?. Isolated cases chache tena za kwako binafsi, hazitoi picha ya kabila love.Sina haja ya kubishana, naandika hapa ni experience yangu binafsi kuhusu hilo jambo.
Siandiki kwa kusikia kwa mtu mmoja au kwa mitandao naandika kwa kuona na kushuhudia.
KUkiwa na mbongo mnyakyusa, akikutana na wachagga 4 marekani basi wale sio wabongo wenzake.
Nimemaliza
Ndo kwao na mgerasi huko Kijiji kinaitwa singisiKama huko ndiko anatoka Mgerasi Maghayo The Mongolian Savage basi naweza kukubaliana na mleta mada.
Comment moja ya mtu unaweza kutumia kama kipimo cha kujitambua kwa kwake ???Wewe bado hujitambui, hivi inajua ubinafsi wa Wanyakyusa? Hivi unajua taasisi zilizoja Wanyakyusa mpaka ikabidi Serikali iingilie kati? Uliwahi kuishi na Wahaya?. Isolated cases chache tena za kwako binafsi, hazitoi picha ya kabila love
Kaaya,nko,mafie,Kyungai, Isangya, akyoo, urio, ndosi, kitomari, sumari, urassa, mbise, naare ndu!
Bila kumsahau nasari,Kaaya,nko,mafie,
hao ni kawaida yao...Comment moja ya mtu unaweza kutumia kama kipimo cha kujitambua kwa kwake ???
Anyway mimi nimeongea kutoka na kitu nilichopitia na nimekiona,kwahiyo nimetoa maoni according na true event pengine ukabila upo kwa kila kabila lakini kwa upande wangu nimeona ukabila ule ulio mkali kwa wachaga.
Kama wewe uliona kwa wanyakyusa na wahaya ni wewe according to your experience lil man.
Siku njema.
Siukae nao mbali ,kwani ndio.kabila lilipo 🇹🇿 yapo makabila 100 na ushee tafuta mengine au baki na wenzako wa kabila lako ,maisha ni yako kwanini ujitese kwani wewe ni jiwe.Nakumbuka nilihamishwa kikazi kipindi fulani na kukaa katika wilaya ya Arumeru, halmashauri Meru, aloo sinawahi kukutana na sampuli la kabila hili la wameru aiseehawa jamaa kiboko!...
Yaani wameru ni kabila la hovyo yaani wana tabia zakifala sana kuishi nao hawa jamaa inahitaji ubabe na akili kubwa....
Kwanza wana ujinga wa ubabe wakifala yaani kila ugomvi utakuta mwanaume anakimbilia ndani kutafuta panga, kubabake kuna fala moja alitaka kunizoea akaniletea tabia zake za kimeru, si akawa naenda kufata panga, mimi nikakata mti aisee nilimcharaza bakora mpaka asahau njia ya kwenda kwao kufata panga...
Wameru ni wa hovyo sana yaani pia hawa watu ni wabinafsi mno na wachoyo yaani wao chao chao ila chako wanataka kiwe chao, nenda arusha uishi nao uone yaani hawastaarabiki kabisa yaaani mmeru wa seela, sing'isi awe wa tengeru au usa river au momela, maji ya chai wote vichwa vyao maji....ujinga mwingi....
Nimezunguka mikoa mingi ila hili kabila hapana nimewanyooshea mikono....kizuri chao ni mademu tu,
Aisee wanawake wa kimeru ni wazuri balaa ila tabia ngumu kama nguna ya dona.
vipi maeneo yetu pendwa mjini....wapo vizuri? yaliyomo yamo??Nakumbuka nilihamishwa kikazi kipindi fulani na kukaa katika wilaya ya Arumeru, halmashauri Meru, aloo sinawahi kukutana na sampuli la kabila hili la wameru aiseehawa jamaa kiboko!...
Yaani wameru ni kabila la hovyo yaani wana tabia zakifala sana kuishi nao hawa jamaa inahitaji ubabe na akili kubwa....
Kwanza wana ujinga wa ubabe wakifala yaani kila ugomvi utakuta mwanaume anakimbilia ndani kutafuta panga, kubabake kuna fala moja alitaka kunizoea akaniletea tabia zake za kimeru, si akawa naenda kufata panga, mimi nikakata mti aisee nilimcharaza bakora mpaka asahau njia ya kwenda kwao kufata panga...
Wameru ni wa hovyo sana yaani pia hawa watu ni wabinafsi mno na wachoyo yaani wao chao chao ila chako wanataka kiwe chao, nenda arusha uishi nao uone yaani hawastaarabiki kabisa yaaani mmeru wa seela, sing'isi awe wa tengeru au usa river au momela, maji ya chai wote vichwa vyao maji....ujinga mwingi....
Nimezunguka mikoa mingi ila hili kabila hapana nimewanyooshea mikono....kizuri chao ni mademu tu,
Aisee wanawake wa kimeru ni wazuri balaa ila tabia ngumu kama nguna ya dona.
Nusha mbee Urasa,Oldadai, sing'isi, kisimiri, sakila, tengeru, maji ya chai na viunga vyake vyote naare mbonyi!
Hapo kwa fundi siku hizi ndio wanachuo wa makumira na maendeleo ya jamii wameamiaSing'isi ni homu kabisa kwa fundi maamae I miss home
Hahahaaaaa kisaliii!Kisali unaitwa huku!🤣
Mkuu tema mate chini! Mimi nawajua wameru na sikubaliani na ubinafsi wao wa hali ya juu sana, jana nilikuwa Tengeru aisee nimekutana na mabinti wazuriiiii wazuriii sana wa Kimeru tika huko juu mlimani.Njoo ujioneeSasa wanawake wa kimeru wana uzuri gahi jombaa
ndio wale wenye meno meusi?
Kaaya,Nnko Nassary naare ndu!Kyungai, Isangya, akyoo, urio, ndosi, kitomari, sumari, urassa, mbise, naare ndu!