adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,595
- 39,893
I will sabotage that plan , remember I'm a Consigliere đź§Hili liadriz jinger sana. Yani Id zangu nikikumbuka. Nitawaomba Tu mods wanirudishie.
Umbwaz
I will sabotage that plan , remember I'm a Consigliere đź§Hili liadriz jinger sana. Yani Id zangu nikikumbuka. Nitawaomba Tu mods wanirudishie.
Umbwaz
Huo nao ni umbea, hebu tuambie ni watu gani sio wabinafsi?Sina chuki na wameru ila huwa naona watu wa kaskazini ni watu wabinafsi sana
Huu wimbo wa fid Q_sumu
Kuna verse inasema hivi
Wabongo wa majuu hamna upendo, mnajigawa
KWa maana hii ni kwamba jinsi utakavyokutana na mbongo mwenzio let's say Marekani akiwa anatokea kaskazini na ni kabila la uko kaskazini
Ni tofauti na utakavyokutana na mbongo mwenzio wa kabila nje ya kaskazini
Watu wa kaskazini ni watu watofauti sana,hujiona wao ni wao tu
yani mabinti wa kimeru wanajiskia hao, kuna shoga angu mmeru woii[emoji28]
Wameru wa Kenya na Tz kwenye lugha hawasikilizaniWameru hata kenya wana hilo kabira la wameru, na hizo tabia ulizoziongea hapo ni exactly the same na wameru wa kenya, hata muonekano wa wameru wa kenya utadhani ni wachaga, i think ni same tribe sema welihamahama kitambo wengine wakahamia upande wa kenya.
Sina haja ya kubishana, naandika hapa ni experience yangu binafsi kuhusu hilo jambo.Huo nao ni umbea, hebu tuambie ni watu gani sio wabinafsi?
Wameru hawako poa labda wachache sana tena waliotembeatembea kidogo nje ya mlima Meru waliobaki ishi nao kwa akiliWatu wata kuchukulia jinsi wewe ulivyo na unavyoishi nao.
Wameru wapo poa hawana shida.
Wewe utakuwa umeshindwa kuishi nao kwa akili.
Ukimjua mbwa jina hakusumbui wala kukung'ata. Tumia hiyo kanuni.
Heeee hakuna cha unavyoishi achana na Mmeru asee ile ni no nyingine. kwanza inafaa waoane wenyewe kwa wenyeweWatu wata kuchukulia jinsi wewe ulivyo na unavyoishi nao.
Wameru wapo poa hawana shida.
Wewe utakuwa umeshindwa kuishi nao kwa akili.
Ukimjua mbwa jina hakusumbui wala kukung'ata. Tumia hiyo kanuni.
Tena wazee wana mambo ya hivyo sana kutaka kuheshimiwa kijinga wakati ni wazi guaji mnoKuna Mzee mmoja Mmeru alikua jirani yangu huko Ngurero kwa juu kule alikua hataki gari isimame kwenye kiwanja chake au hata kupita aliweka mawe mengi balaa wakati nyumba yake ipo mbali siku alipougua jamaa aliembeba alipaki gari mbali ili abebwe mpaka pale anapotaka gari liwe linaishia alivyopona na kurudi aliomba msamaha na kuwanunulia wanakijiji pombe ikaisha hiyo.
Kabisa hapa point ukikutana na ile namba yaee singisi ambayo haijatoka popote zaidi ya tengeru usa utajutaWameru hawako poa labda wachache sana tena waliotembeatembea kidogo nje ya mlima Meru waliobaki ishi nao kwa akili
Mimi nilikua nambebea majani ya Ng'ombe nikipita maporini huko kwa hiyo alikua rafiki yangu ila wahuni walisema nisimbebe watambeba wao na wakaacha gari mbali na ndugu yao ikabidi niwasikilize tu..Tena wazee wana mambo ya hivyo sana kutaka kuheshimiwa kijinga wakati ni wazi guaji mno
[emoji57][emoji57]Mkuu haujakutana na wapare
Mimi nimeona wameru 8 wenye matatizo makubwa sana ya ubinafsi,roho mbaya,chuki,na kila aina ya ushenzi wako nao,na niko nafanya kazi kaskazini Arusha kwa miaka 14 sasaUmefanya research kwa wameru wangapi?