Kabila la Wameru ni watu wabinafsi na wakorofi sana

Kabila la Wameru ni watu wabinafsi na wakorofi sana

Comment moja ya mtu unaweza kutumia kama kipimo cha kujitambua kwa kwake ???

Anyway mimi nimeongea kutoka na kitu nilichopitia na nimekiona,kwahiyo nimetoa maoni according na true event pengine ukabila upo kwa kila kabila lakini kwa upande wangu nimeona ukabila ule ulio mkali kwa wachaga.

Kama wewe uliona kwa wanyakyusa na wahaya ni wewe according to your experience lil man.

Siku njema.
Ukweli unapaswa kuwa objective na sio subjective.
 
Sina chuki na wameru ila huwa naona watu wa kaskazini ni watu wabinafsi sana

Huu wimbo wa fid Q_sumu

Kuna verse inasema hivi

Wabongo wa majuu hamna upendo, mnajigawa



KWa maana hii ni kwamba jinsi utakavyokutana na mbongo mwenzio let's say Marekani akiwa anatokea kaskazini na ni kabila la uko kaskazini

Ni tofauti na utakavyokutana na mbongo mwenzio wa kabila nje ya kaskazini

Watu wa kaskazini ni watu watofauti sana,hujiona wao ni wao tu
Yes ni kweli ni wabinafsi sijui wana matatizo gani hawa!!!
 
Nakumbuka nilihamishwa kikazi kipindi fulani na kukaa katika wilaya ya Arumeru, halmashauri Meru, aloo sinawahi kukutana na sampuli la kabila hili la wameru aiseehawa jamaa kiboko!...

Yaani wameru ni kabila la hovyo yaani wana tabia zakifala sana kuishi nao hawa jamaa inahitaji ubabe na akili kubwa....

Kwanza wana ujinga wa ubabe wakifala yaani kila ugomvi utakuta mwanaume anakimbilia ndani kutafuta panga, kubabake kuna fala moja alitaka kunizoea akaniletea tabia zake za kimeru, si akawa naenda kufata panga, mimi nikakata mti aisee nilimcharaza bakora mpaka asahau njia ya kwenda kwao kufata panga...

Wameru ni wa hovyo sana yaani pia hawa watu ni wabinafsi mno na wachoyo yaani wao chao chao ila chako wanataka kiwe chao, nenda arusha uishi nao uone yaani hawastaarabiki kabisa yaaani mmeru wa seela, sing'isi awe wa tengeru au usa river au momela, maji ya chai wote vichwa vyao maji....ujinga mwingi....

Nimezunguka mikoa mingi ila hili kabila hapana nimewanyooshea mikono....kizuri chao ni mademu tu,
Aisee wanawake wa kimeru ni wazuri balaa ila tabia ngumu kama nguna ya dona.
Sawa nenda kwenye kabila lenuu
Tuachie letu wanachugaa
 
Kama huko ndiko anatoka Mgerasi Maghayo The Mongolian Savage basi naweza kukubaliana na mleta mada.
Kuna mwana ni wanangu wawili mmoja Sarakikya mwingine Mbise ni watata watata sana. Huyo Mbise alikumbana na Mpare mkoja beef lao lilikua kali sana. Mimi Wameru hao wananikubali sana......japo wao hawajuani mimi tu ndio wananijua na nawajua wao. Ila wananikubalisana. Wameru jua tu namna ya kuishi nao.
 
Sawa Sawa
Kuna mwana ni wanangu wawili mmoja Sarakikya mwingine Mbise ni watata watata sana. Huyo Mbise alikumbana na Mpare mkoja beef lao lilikua kali sana. Mimi Wameru hao wananikubali sana......japo wao hawajuani mimi tu ndio wananijua na nawajua wao. Ila wananikubalisana. Wameru jua tu namna ya kuishi nao.
I
 
Back
Top Bottom