Hiyo tafsiri umeitoa wapi?Sina chuki na wameru ila huwa naona watu wa kaskazini ni watu wabinafsi sana
Huu wimbo wa fid Q_sumu
Kuna verse inasema hivi
Wabongo wa majuu hamna upendo, mnajigawa
KWa maana hii ni kwamba jinsi utakavyokutana na mbongo mwenzio let's say Marekani akiwa anatokea kaskazini na ni kabila la uko kaskazini
Ni tofauti na utakavyokutana na mbongo mwenzio wa kabila nje ya kaskazini
Watu wa kaskazini ni watu watofauti sana,hujiona wao ni wao tu
Meru ni sehemu pekee iliyostaarabika mtoto wa kike wa kimeru akijua anaenda nyumbani lazima ajikague hadi mavazi kimini anaacha hukohuko mjini, kijana kama unautovu wa nidhamu hufungiwi macho lazima ule bakora, sasa jamaa itakua alitaka kupeleka utaratibu wake uliokinyume na maadili ya wameru hapo lazima atawachukiaWatu wata kuchukulia jinsi wewe ulivyo na unavyoishi nao.
Wameru wapo poa hawana shida.
Wewe utakuwa umeshindwa kuishi nao kwa akili.
Ukimjua mbwa jina hakusumbui wala kukung'ata. Tumia hiyo kanuni.
Kwa hiyo shoga yako akijisikia ndio wameru wote wanajisikia?yani mabinti wa kimeru wanajiskia hao, kuna shoga angu mmeru woii[emoji28]
Hili liadriz jinger sana. Yani Id zangu nikikumbuka. Nitawaomba Tu mods wanirudishie.Kama huko ndiko anatoka Mgerasi Maghayo The Mongolian Savage basi naweza kukubaliana na mleta mada.
Umesahau kikatiti na Ngarenanyuki Kwa akina Ndawoo ChaliifranciscoOldadai, sing'isi, kisimiri, sakila, tengeru, maji ya chai na viunga vyake vyote naare mbonyi!
Najazia na wale wa ngabobo mkuu.Umesahau kikatiti na Ngarenanyuki Kwa akina Ndawoo Chaliifrancisco
Wameru hatutaki "makabila" tutawafukuza wote.
Sing'isi ni homu kabisa kwa fundi maamae I miss homeNajazia na wale wa ngabobo mkuu.
Mi mchagaTaja kabila lako pia tulitoe kasoro
We ni fala sana mimi mchaga na nasema wameru washenzi mnoJiheshimu acha kuchafua kabila la wastaarabu rudi kwenu shinyanga msukuma wewe
Utaachaje kusifia dadako zako!? Wakose bwana!? Ila tumepanga hatuwaoi ila kula tunawalaLazima wajiskie Tz hii kuna mademu wakali zaidi ya mademu wa kimeru?
ExperienceHiyo tafsiri umeitoa wapi?
Duh! Ina maana hadi Dada yake Maghayo The Mongolian Savage ni pisi Kali ?Lazima wajiskie Tz hii kuna mademu wakali zaidi ya mademu wa kimeru?