Kabila la Wameru ni watu wabinafsi na wakorofi sana

Huo nao ni umbea, hebu tuambie ni watu gani sio wabinafsi?
 
Wameru wa Kenya na Tz kwenye lugha hawasikilizani
 
Ukivuta jiko huko inakuwa umejichimbia grave.
Unasubiriwa ujipange kimaisha wakuondoe au unyang'anywe kila kitu utoke na nguo zako tu tena bila hata begi yaani nguo kwenye shangazi au mjomba kaja!
 
Mi nilizaa na mmeru akang'ang'ania kuishi nami ni kama 2 years hiv asee nilishindwa kila siku vita afu uchoyo Sasa ndo kwao familia inamizozo

Nyumba niliokaa aligombana na wapangaji wote

Kwa uzuri wamejaaliwa na nashukulu kanizalia Binti mmoja mzurii sana ..

Lakin nilimuacha asee ..maana niliona mpka naanza zeeka:
 
watu wanatofuatiana kulingana na jamii zao ,utawaona wako hovyo kwa sababu uko tofauti nao ..Bahati mbaya wewe umewafuata kwao.

Nakumbuka rafiki zangu wakina Mbise na pallagyo, walikuwa watu poa sana .
 
Huo nao ni umbea, hebu tuambie ni watu gani sio wabinafsi?
Sina haja ya kubishana, naandika hapa ni experience yangu binafsi kuhusu hilo jambo.

Siandiki kwa kusikia kwa mtu mmoja au kwa mitandao naandika kwa kuona na kushuhudia.

KUkiwa na mbongo mnyakyusa, akikutana na wachagga 4 marekani basi wale sio wabongo wenzake.

Nimemaliza
 
Watu wata kuchukulia jinsi wewe ulivyo na unavyoishi nao.

Wameru wapo poa hawana shida.

Wewe utakuwa umeshindwa kuishi nao kwa akili.

Ukimjua mbwa jina hakusumbui wala kukung'ata. Tumia hiyo kanuni.
Wameru hawako poa labda wachache sana tena waliotembeatembea kidogo nje ya mlima Meru waliobaki ishi nao kwa akili
 
Watu wata kuchukulia jinsi wewe ulivyo na unavyoishi nao.

Wameru wapo poa hawana shida.

Wewe utakuwa umeshindwa kuishi nao kwa akili.

Ukimjua mbwa jina hakusumbui wala kukung'ata. Tumia hiyo kanuni.
Heeee hakuna cha unavyoishi achana na Mmeru asee ile ni no nyingine. kwanza inafaa waoane wenyewe kwa wenyewe
 
Bro yawezekana ni kweli unayoyasema ila sio wote mkuu binafsi nimewahi ishi Arusha na nimekaa Sana tengeru maeneo ya sadecc na kwa fundi pale kuna mama wa kimeru amewahi nilea kama mtoto wake wakati napitia changomoto Fulani kwa sababu ya kuonesha kujali na kusaidia wakati nafika Arusha kwa mara ya Kwanza
 
Tena wazee wana mambo ya hivyo sana kutaka kuheshimiwa kijinga wakati ni wazi guaji mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…