Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Kama ilivyo hii leo.
Roho ya Kuabudu ipo katika kila mwanadamu.
Mababu zetu kama ilivyo hii leo wengine waliabudu miungu mingine, wengine walimwabudu Mungu kama kawaida.
Hapa nasema
Wengine walikuwa wachawi walimwabudu Shetani na washirika wake.
Wengine walimwabudu Mungu muumba mbingu na nchi.
Ndio maana utaona Amri Kumi za kwenye Torati ya Musa zilikuwa zikitekelezwa na baadhi ya Jamii hizo.
Amri kama Usiue, Usiibe, Usiseme uwongo, heshimu wazazi na jirani, usitamani mali au mke wa mtu nk.
Zilikuwa zikitekelezwa katika Jamii hizo.
Hapa namaanisha Kuna baadhi ya watu katika hizo jamii walikuwa wakipokea Unabii au wenzetu wanaita Wahayi kama kawaida na kuiambia jamii yao kutii kwa vitendo.
Tatizo la jamii hizo walikuwa hawaweki hayo mafundisho katika format ya maandishi Written.
Utasikia tu Babu zetu walikuwa wanaabudu Mizimu.
Kwakuwa hawakujua kutofautisha jina kati ya mfano Malaika na Mizimu.
Wao wakitokewa na Malaika okiwafundisha jambo flani wanaita Mizimu.
Wakitokewa na Majini wao waliita Mizimu tu.
Hivyo wachawi waliona wanapata nguvu toka kwa Mizimu
Pia watu waliofundishwa na Mungu wakitokewa na Malaika wanaita Mizimu pia.
Ndio maana Leo wengi wetu wanaojua Babu zetu waliabudu Mizimu.
Kama wangeweza kuchapisha mafundisho yao hasa Yale ya Kinabii basi Kuna uwezekano mkubwa Kitabu chao kingevishinda vitabu vingi tu vya baadhi ya Dini za Leo kwa kuelezea mambo mazuri na yenye faida kwa jamii.
Wengine walikuwa hawana Dini kama ilivyo hivi Leo.