Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Quran imecopy na kuedit na kupaste Torati, zaburi na injiri, kwahiyo reference sahihi ni Biblia.Uislamu unatambua kuwa Yesu alikuwa mtume kama ilivyoandika Biblia . Pia Yesu hakusulubiwa na wala hakufa kama ilivyoandika biblia
Waandishi wa Quran wanajuwa wenyewe sababu ya kuchakachuwa vitabu walivyocopy kwenye Biblia.
Kimsingi unakubali Yesu hakufa na yuko mbinguni na Allah ila Muhammad amekufa na kaburi kake liko madina.
Sasa kama una akili timamu kati ya Muhammad na Yesu ni yupi wa kumfuata?