Kabla dini za kigeni kuletwa Afrika, wazee wetu waliabudu nini?

Kabla dini za kigeni kuletwa Afrika, wazee wetu waliabudu nini?

Uislamu unatambua kuwa Yesu alikuwa mtume kama ilivyoandika Biblia . Pia Yesu hakusulubiwa na wala hakufa kama ilivyoandika biblia
Quran imecopy na kuedit na kupaste Torati, zaburi na injiri, kwahiyo reference sahihi ni Biblia.

Waandishi wa Quran wanajuwa wenyewe sababu ya kuchakachuwa vitabu walivyocopy kwenye Biblia.

Kimsingi unakubali Yesu hakufa na yuko mbinguni na Allah ila Muhammad amekufa na kaburi kake liko madina.

Sasa kama una akili timamu kati ya Muhammad na Yesu ni yupi wa kumfuata?
 
Quran imekopi Biblia ipi???KJV, Mormon bible, NIV, au maelfu ya biblia tofauti??

Na hiyo injili ilikopi ipi ?? injili ya Mathayo, Luka, John, Mark, ya Paulo au zile maelfu ambazo hazikuingizwa kwenye biblia??

Unaongelea Yesu yupi ?+ wa Mathayo au Luka au yule ambaye biblia ilimuandika kuwa ametoka katika kizazi cha zinaa ambaye kwa mujibu wa biblia haingii katika makutano ya bwana ??

Tufahamishe Dr Matola bin Phd
 
Kabla hata ya kutudikiria sisi; hao Waarabu na Wazungu walikua na namna zao za kuabudu kabla ya Ukristo na Uislam. Waarabu walikua na sanamu zao za kutosha while Wazungu nao walikua na zao; dini zilipokuja waliweka na baadhi ya tamaduni zao, kwa Wakristo hasa RC sherehe za Christmas zintokana na utamaduni wao wa Kizungu hasa Italy; Waislam nao pia wanazo ambazo hazina uhusiano na dini Yao but kwakua nahofia ugomvi sitafafanua hizo za kiislam
 
Hicho ndicho kitabu cha kiafrika ??
Tafuta maarifa,naona wew n mtumwa wa itikad tena roho ya usaliti inakutawala,je waafrika kabla ya hizo dini zenu pendwa walikuwa hawana dini?
 
Hakuna specific kitabu ch kidini,lakn Kuna marejeo ya vitabu vinavyoelezea African religion unaweza google hata Sasa hiv
Hivyo vitabu si vimeandikwa karne hii ?? Nani aliishi karne hizo za nyuma mpaka leo akaandika kitabu ??
 
Hivyo vitabu si vimeandikwa karne hii ?? Nani aliishi karne hizo za nyuma mpaka leo akaandika kitabu ??
Kuna watu bado wanafuata taratibu zao ambazo wamerithishwa na wazaz wao ,na kupitia Kam hao ndio tunapata kujua ,alafu Kuna vitabu vipo,na hata ukisoma vizur maandiko unaona imani za kiafrika vizur sana,God-spirits-ancestors-humanbeings,rejea agano la kale
 
Back
Top Bottom