Kabla haujaoa jaribu kutembelea Unguja, Zanzibar

Kuna wazo unalo.Lakini,kuandika neno "uchafu" umekwama kimtazamo.Unamaanisha hadi@HAYALAND wapo hao wachafu?
Kuoa mtu ambaye unaanza naye safari yako ya Maisha Hadi uzee inahitaji mtu msafi wa Roho
Mwili na Matendo kwa Zanzibar watu hawana pesa but still wana Enjoy Ndoa na mahusiano
 
Ni wote kabisa?Hongera yao.Ingawa "but still" siamini.
 
Back
Top Bottom