Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 829
- 1,564
- Thread starter
- #21
MIMI ninachokiona hawa bado hawajakutana na watu smart na wenyewe watapigwa.Pamoja na yaliyowakuta TALA na BRANCH bado hizi kampuni zinarudi bongo tena? Sema nn, ukitaka kukopa futa namba zote kwenye phonebook weka namba ambazo hazipo halafu kopa ili kila wakitaka kuanza kusambaza sms kwa ndugu na jamaa ziwe zina bounce.