Kabla hujakopa ama kukopeshwa na app za mitandaoni elewa yafuatayo

kwa namna mambo yanavyokwenda ni kama mamlaka imeacha wakopaji na wakopeshaji mmalizane🤣🤣🤣.
riba mlima kwa muda mfupi sana na serikali kimyaaa,nawewe mkopeshaji ukipigwa hujui unakwenda wapi kuanza kudai maana ulijiundia utaratibu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…