Kabla hujakubali kuolewa ama kumuoa mtu, fanya naye maongezi marefu mjadiliane mambo ya msingi Kuhusu Maisha

Yeah sure
 
Kabisa ukiamua kuoa kila kitu unakibeba.
 
Huu uzi ngoja nikauchapishe....😀🙏🙏🙏
 
Soma zuri sana.
Ila sasa, hutamuona mtu anakwambia mi hivi na vile.
Dunia ya leo, utaambiwa mara ohh mnato,mara ya kihaya,hivyo tu. Mtu akiweka tu,siku hiyo ndoa tayari. Wapangaji wenzako wanamuona mgeni kibarazani,badae mama akipiga simu anauliza nani anaongea hapo,utasikia nipo kwa watu.
 
Wengi wa mademu wa kibongo wanachukulia ndoa kama ukombozi wa dhiki zao na familia zao.

Jitu linaimgia kwenye ndoa akitarajia kufanyiwa kila kitu. Kuongea na kenge kama hiyo kuhusu bills ni wastage of time tu.
 
that one is not marriage then,
it is business marriage or boarding school of marriage...

what is the most requirements to a very stable, healthier and happier marriage, is true love, trust, each other respect, resilience, forgiveness, good sex among other requirements....

hivyo vingine ni kujenga msingi wa mafarakano na matizo kwenye marriage yenu tena with reference...

maana yake mtakacho tofautiana au ambacho hakujatimizwa na muhusika miongoni mwenu itakua ni uhalifu na uvunjufu wa msingi wa marriage yenu...
itaonekana ni dharau, uzembe, kutokujali au hakuna upendo ....

hamtaishia hapo,
vita itaendelea kwenye masuala mengine katika makubaliano yenu with reference...

so,
vigezo na masharti yasiyo husu upendo wa dhati kwenye ndoa, huondoa Neema na Baraka za Mungu

Mpendane, msichokozane, amani ya Mungu iwe ndani yenu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…