Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
alitaka kupiga parefu sana...maisha haya ukipigwa 10k tu inauma sana..[emoji849][emoji849]Nina Harrier niliipeleka akanipa invoice ya 4.6M. Nikachukua list yake nikaenda pale Toyota Kkoo nikanunua vifaa mwenyewe. Mpaka nafunga vifaa vyote gharama ikaja kama 3M. Alizidisha cha juu kama 1.6 kwenye vifaa pekee.
Ni kweli mkuu ila sometimes unakuta kijana ndiyo kaajiriwa serikalini na kamshahara ka TGS D, anachukua mkopo pale NMB anaagiza Aud....basi sehemu ya mshahara inayobaki inakuwa ni ya kuhudumia Aud...kamwe hatanunua kiwanja au kujenga...[emoji25]
Hahahahah spea zote zipo we agiza tu kaka, usitishwe na mashabiki wa Toyota. Kinakufa kiji sensor kimoja gari haitembei na gharama ni ada ya mwanao ya mwaka mzima😅😅😅Mkuu wengi wanaagiza hayo magari kwa kuigana, wachache ndiyo unakuta wamejipanga kuja kuyahudumia...
Halafu kitu kingine kinachowaponza watu ni ile kauli ya kutiana moyo ""Usijali we agiza spea zipo kibao.."Dude linakorofisha kamfuniko ka radiator tu, unazunguka nchi nzima...
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha japo harrier vifaa vyake ni aghali ila sio kwa million 5 mkuu! Ulikuwa unanua engine nini?Nina Harrier niliipeleka akanipa invoice ya 4.6M. Nikachukua list yake nikaenda pale Toyota Kkoo nikanunua vifaa mwenyewe. Mpaka nafunga vifaa vyote gharama ikaja kama 3M. Alizidisha cha juu kama 1.6 kwenye vifaa pekee.
Huyo jerry ni fundi mwenye gereji ama?mbona hizo bei zake za ajabu hivyoNina Harrier niliipeleka akanipa invoice ya 4.6M. Nikachukua list yake nikaenda pale Toyota Kkoo nikanunua vifaa mwenyewe. Mpaka nafunga vifaa vyote gharama ikaja kama 3M. Alizidisha cha juu kama 1.6 kwenye vifaa pekee.
Wakati gari za Japan ukienda huko machimboni wanakochinja magari hizo sensor unapewa kama njugu..Hahahahah spea zote zipo we agiza tu kaka, usitishwe na mashabiki wa Toyota. Kinakufa kiji sensor kimoja gari haitembei na gharama ni ada ya mwanao ya mwaka mzima[emoji28][emoji28][emoji28]
Sensor za kuokotaWakati gari za Japan ukienda huko machimboni wanakochinja magari hizo sensor unapewa kama njugu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sensor unafanya kusagura kama mitumba tena bei ya mtori. Amnaga story za kuagiza ukiwa na Toyota labda uwe na Model ya 2020!Wakati gari za Japan ukienda huko machimboni wanakochinja magari hizo sensor unapewa kama njugu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu ila gari lina sehemu yake katika maisha...Mimi hata sielewi gari kwa ajili ya nini, zote tu ni gharama, mimi na pikipiki yangu hata ikizingua sijui nini sijawahi kutumia zaidi ya elfu hamsini. Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Kama lengo ni kujifunza, usimnyamazishe mtu bila hoja mkuu. Ulipaswa kumchukulia positively kisha uendelee kujaza mihoja ya kushawishi wanajamvi tupate zaidi. Mada uliyoibua ni tamu sana, itatusaidia wengi. Hivyo tuwe na hoja kuntu. Kwa mfano, ni vema tupate maelezo ya kitaalamu kwamba vifaa vya kibeberu na magari yao hudumu kwa muda gani kwa kulinganisha na ya kwetu yatokayo mashariki. Ni vema tujue kwanini tunapaswa kubaki na wajapani na wachina kwa vihela vyetu vya mkopo.Hoja nyepesi, Toyota is reliable and affordable to maintain.
Wengine tunaishi kwa matuamaini kuwa hatutapewa changamoto zinazozidi uwezo wetu na maisha yanasogea.Ni kweli mkuu ila gari lina sehemu yake katika maisha...
Kuna wakati inatokea changamoto ya kiusafiri, pikipiki wakati huo haifai gari ndiyo linafaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nipe hiyo connection yakupata brevis ya 4m na mimi nitoe gundu. Nimebaki pekeangu JF.Vijana wengi wanaoendesha magari ya ulaya wanaugua vichomi vikali sana....Ni vile tu gari ni kama mke, akikupiga usiku, huwezi kutangaza asubuhi...[emoji28][emoji28]
Hiyo gharama akiongeza hapo m1, anamvua mtu Brevis..[emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
okay kwa Pm or?Nitumie picha
Kwa 4M kaongeza chumvi Ila kwa 5M unapataMkuu nipe hiyo connection yakupata brevis ya 4m na mimi nitoe gundu. Nimebaki pekeangu JF.
Ooh sawa...ila hata mama mjamzito anaweza kuzidiwa usiku wa manane huku mvua kubwa inanyesha....hapa ndiyo umuhimu wa gari unapoonekana..Wengine tunaishi kwa matuamaini kuwa hatutapewa changamoto zinazozidi uwezo wetu na maisha yanasogea.
Ila ukiona mtu anaagiza gari kama hiyo ujue ameshajipanga Kwa kila kitu....
Haya Magari Kwa maisha yetu ya kuunga itakuwa ndoto kumiliki ingawa wanapata Sana heshima barabaran lkn maumivu yake Kwenye Spare Parts ni makali
Imeuzwa Brevis M4 nikishuhudia...sasa sikujua kama ilikuwa na shida iliyojifivha au ni ile ile kasumba ya kusema zinakunywa sana mafuta..Kwa 4M kaongeza chumvi Ila kwa 5M unapata
Hiyo hapo namba C 4,300,000/- hapo bado hamjaongea kupunguziana...Kwa 4M kaongeza chumvi Ila kwa 5M unapata
duh kumbe unazungumzia namba C?Hiyo hapo namba C 4,300,000/- hapo bado hamjaongea kupunguziana...
View attachment 1622108
Sent using Jamii Forums mobile app