PostGE2025 Kabla hujatoka kuandamana tarehe 9 Disemba angalia hii picha

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mange kimambi aliwaambia vijana wasiogope walambe pasi ya moto tarehe 29 wataokolewa na wajeda.

Vijana wa Dar wakalamba pasi ya moto kwa siku moja na nusu wakaona hakuna ukombozi wakaacha wakakimbilia maghetoni kwao.

Vijana wa mikoani hawakutaka kupitwa na wala viepe nao wakaanza kuilamba pasi kwa bashasha, weee siku moja tu wakaacha.

Wengine masaa 4 tu hawakuwa na hamu tena ya kulamba pasi ya moto.

Mkifeli mnakimbilia ICC, hiyo ICC ni outdated takataka.

Vipi wale waliolamba nge kule Zanzibar 26/27 January 2001 ICC iliwasomesha watoto wao yatima?

Wake zao watu washaoa.

Sasa Mange anawapanga tena wakalambe nondo za moto kiwandani.

Mimi niko pale tarehe 10 Disemba nitakuwa nacheka tu.View attachment 3501133
Matrako yako
 
Kauli kama hizi sio sawa, zitachochea mauaji ya kimbari
Chanzo ni kauli kama hiz walipotekwa watanzania na kuuliwa zilikua kauli za kutokujalina dharau chuki huzaa kifo kifo huzaa kisas kisas huzaa majuto majuto huzaa heshima na kupendana
 
Mange kimambi aliwaambia vijana wasiogope walambe pasi ya moto tarehe 29 wataokolewa na wajeda.

Vijana wa Dar wakalamba pasi ya moto kwa siku moja na nusu wakaona hakuna ukombozi wakaacha wakakimbilia maghetoni kwao.

Vijana wa mikoani hawakutaka kupitwa na wala viepe nao wakaanza kuilamba pasi kwa bashasha, weee siku moja tu wakaacha.

Wengine masaa 4 tu hawakuwa na hamu tena ya kulamba pasi ya moto.

Mkifeli mnakimbilia ICC, hiyo ICC ni outdated takataka.

Vipi wale waliolamba nge kule Zanzibar 26/27 January 2001 ICC iliwasomesha watoto wao yatima?

Wake zao watu washaoa.

Sasa Mange anawapanga tena wakalambe nondo za moto kiwandani.

Mimi niko pale tarehe 10 Disemba nitakuwa nacheka tu.View attachment 3501133
Vyovyote iwavyo, haiwezekani tuendelee kuongozwa na hii serekali . Serekali gani inayoajiri mahakama na kuikwepa, huku ikiendelea kuhukumu watu nje ya mahakama?.
 
Mange kimambi aliwaambia vijana wasiogope walambe pasi ya moto tarehe 29 wataokolewa na wajeda.

Vijana wa Dar wakalamba pasi ya moto kwa siku moja na nusu wakaona hakuna ukombozi wakaacha wakakimbilia maghetoni kwao.

Vijana wa mikoani hawakutaka kupitwa na wala viepe nao wakaanza kuilamba pasi kwa bashasha, weee siku moja tu wakaacha.

Wengine masaa 4 tu hawakuwa na hamu tena ya kulamba pasi ya moto.

Mkifeli mnakimbilia ICC, hiyo ICC ni outdated takataka.

Vipi wale waliolamba nge kule Zanzibar 26/27 January 2001 ICC iliwasomesha watoto wao yatima?

Wake zao watu washaoa.

Sasa Mange anawapanga tena wakalambe nondo za moto kiwandani.

Mimi niko pale tarehe 10 Disemba nitakuwa nacheka tu.View attachment 3501133
Mada ni kwamba watanzania hawawezi kuandamana.....
 
Mimi niko pale tarehe 10 Disemba nitakuwa nacheka tu

Mange kimambi aliwaambia vijana wasiogope walambe pasi ya moto tarehe 29 wataokolewa na wajeda.

Vijana wa Dar wakalamba pasi ya moto kwa siku moja na nusu wakaona hakuna ukombozi wakaacha wakakimbilia maghetoni kwao.

Vijana wa mikoani hawakutaka kupitwa na wala viepe nao wakaanza kuilamba pasi kwa bashasha, weee siku moja tu wakaacha.

Wengine masaa 4 tu hawakuwa na hamu tena ya kulamba pasi ya moto.

Mkifeli mnakimbilia ICC, hiyo ICC ni outdated takataka.

Vipi wale waliolamba nge kule Zanzibar 26/27 January 2001 ICC iliwasomesha watoto wao yatima?

Wake zao watu washaoa.

Sasa Mange anawapanga tena wakalambe nondo za moto kiwandani.

Mimi niko pale tarehe 10 Disemba nitakuwa nacheka tu.View attachment 3501133
Ni swala la muda tu. Utasaga meno yote wewe jambazi jike
 
Kauli kama hizi sio sawa, zitachochea mauaji ya kimbari
Daktari. Hebu leo toka na pikipiki yako uliyopewa na Mama Samia uende nayo mjini. Utapigiwa miluzi mpaka ukome. Nadhani tunakoelekea ni watu kuwindana kwa itikadi za vyama, Utanganyika vs. Uzanzibari na hata Ukristo na Uislamu. Dalili zote ziko wazi ila inavyoonekana hakuna anayejali maana tuliowapa dhamana watuongoze wanawaza kufisadika tu!
 
Mange kimambi aliwaambia vijana wasiogope walambe pasi ya moto tarehe 29 wataokolewa na wajeda.

Vijana wa Dar wakalamba pasi ya moto kwa siku moja na nusu wakaona hakuna ukombozi wakaacha wakakimbilia maghetoni kwao.

Vijana wa mikoani hawakutaka kupitwa na wala viepe nao wakaanza kuilamba pasi kwa bashasha, weee siku moja tu wakaacha.

Wengine masaa 4 tu hawakuwa na hamu tena ya kulamba pasi ya moto.

Mkifeli mnakimbilia ICC, hiyo ICC ni outdated takataka.

Vipi wale waliolamba nge kule Zanzibar 26/27 January 2001 ICC iliwasomesha watoto wao yatima?

Wake zao watu washaoa.

Sasa Mange anawapanga tena wakalambe nondo za moto kiwandani.

Mimi niko pale tarehe 10 Disemba nitakuwa nacheka tu.View attachment 3501133
Haina shida maana sentensi ilikua watanzania waoga , tukahama huko ,hamuamini 🤣 msipobadilika na kuacha dharau mambo yatazidi kuwa magumu ! Huenda isiwe leo wala kesho lakini itakua tu !

Sio 2025 hata kama 2100 ni sawa tu ! Vitisho , kuuwa na kufunga watu midomo haina maana yeyote.
Hizo issue za mapinduzi , utumwa, uhuru n.k hawakuamka watu tu wakapata wanachotaka imechukua miaka kibao na maisha ya watu wasiohesabika ila jambo lilifanyika na heshima zikawepo.
 
Mange kimambi aliwaambia vijana wasiogope walambe pasi ya moto tarehe 29 wataokolewa na wajeda.

Vijana wa Dar wakalamba pasi ya moto kwa siku moja na nusu wakaona hakuna ukombozi wakaacha wakakimbilia maghetoni kwao.

Vijana wa mikoani hawakutaka kupitwa na wala viepe nao wakaanza kuilamba pasi kwa bashasha, weee siku moja tu wakaacha.

Wengine masaa 4 tu hawakuwa na hamu tena ya kulamba pasi ya moto.

Mkifeli mnakimbilia ICC, hiyo ICC ni outdated takataka.

Vipi wale waliolamba nge kule Zanzibar 26/27 January 2001 ICC iliwasomesha watoto wao yatima?

Wake zao watu washaoa.

Sasa Mange anawapanga tena wakalambe nondo za moto kiwandani.

Mimi niko pale tarehe 10 Disemba nitakuwa nacheka tu.View attachment 3501133
Kaa kwa kutulia, pressure ya nini wakati wanaoendea kwenye mapambano ni mahasimu katika itikadi. Just wait and see kama itakuwa ni mbwa kula mbwa au wolves vs panthers.
Aluta continua.
 
Mange kimambi aliwaambia vijana wasiogope walambe pasi ya moto tarehe 29 wataokolewa na wajeda.

Vijana wa Dar wakalamba pasi ya moto kwa siku moja na nusu wakaona hakuna ukombozi wakaacha wakakimbilia maghetoni kwao.

Vijana wa mikoani hawakutaka kupitwa na wala viepe nao wakaanza kuilamba pasi kwa bashasha, weee siku moja tu wakaacha.

Wengine masaa 4 tu hawakuwa na hamu tena ya kulamba pasi ya moto.

Mkifeli mnakimbilia ICC, hiyo ICC ni outdated takataka.

Vipi wale waliolamba nge kule Zanzibar 26/27 January 2001 ICC iliwasomesha watoto wao yatima?

Wake zao watu washaoa.

Sasa Mange anawapanga tena wakalambe nondo za moto kiwandani.

Mimi niko pale tarehe 10 Disemba nitakuwa nacheka tu.View attachment 3501133
wewe na familia yako yote🖕
 
Kauli kama hizi sio sawa, zitachochea mauaji ya kimbari
Hii imeshakuwa vita, you're either with us or against us. Walifanya massacre juzi deliberately huku wakiweza kutumia teargas/tear bombs, rubber-bullets au yake mangunguri ya maji ya kuwasha hata ikilazimika kutumia live bullets huwa ni kulenga miguu and this happens only when worse comes to worse.
Hii inayokuja ni vita direct, raia against those bastards in uniforms.
 
Daktari. Hebu leo toka na pikipiki yako uliyopewa na Mama Samia uende nayo mjini. Utapigiwa miluzi mpaka ukome. Nadhani tunapoelekea ni watu kuwindana kwa itikadi za vyama, Utanganyika vs. Uzanzibari na hata Ukristo na Uislamu. Dalili zote ziko wazi!
Ongeza ukanda na ukabila. Ukiangalia mikoa, maeneo watu waliouwawa wengi. Hii ni hatari kubwa.

Watetezi wao ni jama huyu MM, hawa wanatetea uchawa wao, matumbo kuendelea kushika madaraka, wakati wengi wanateseka kwenye nchi yenye kila kitu.
 
Mange kimambi aliwaambia vijana wasiogope walambe pasi ya moto tarehe 29 wataokolewa na wajeda.

Vijana wa Dar wakalamba pasi ya moto kwa siku moja na nusu wakaona hakuna ukombozi wakaacha wakakimbilia maghetoni kwao.

Vijana wa mikoani hawakutaka kupitwa na wala viepe nao wakaanza kuilamba pasi kwa bashasha, weee siku moja tu wakaacha.

Wengine masaa 4 tu hawakuwa na hamu tena ya kulamba pasi ya moto.

Mkifeli mnakimbilia ICC, hiyo ICC ni outdated takataka.

Vipi wale waliolamba nge kule Zanzibar 26/27 January 2001 ICC iliwasomesha watoto wao yatima?

Wake zao watu washaoa.

Sasa Mange anawapanga tena wakalambe nondo za moto kiwandani.

Mimi niko pale tarehe 10 Disemba nitakuwa nacheka tu.View attachment 3501133
D9 tutatoka na kama police hawawezi kufanya inavyotakiwa tutawafundisha.
 
Back
Top Bottom