PostGE2025 Kabla hujatoka kuandamana tarehe 9 Disemba angalia hii picha

PostGE2025 Kabla hujatoka kuandamana tarehe 9 Disemba angalia hii picha

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mange kimambi aliwaambia vijana wasiogope walambe pasi ya moto tarehe 29 wataokolewa na wajeda.

Vijana wa Dar wakalamba pasi ya moto kwa siku moja na nusu wakaona hakuna ukombozi wakaacha wakakimbilia maghetoni kwao.

Vijana wa mikoani hawakutaka kupitwa na wala viepe nao wakaanza kuilamba pasi kwa bashasha, weee siku moja tu wakaacha.

Wengine masaa 4 tu hawakuwa na hamu tena ya kulamba pasi ya moto.

Mkifeli mnakimbilia ICC, hiyo ICC ni outdated takataka.

Vipi wale waliolamba nge kule Zanzibar 26/27 January 2001 ICC iliwasomesha watoto wao yatima?

Wake zao watu washaoa.

Sasa Mange anawapanga tena wakalambe nondo za moto kiwandani.

Mimi niko pale tarehe 10 Disemba nitakuwa nacheka tu.View attachment 3501133
Huenda ukawa umekufa Dunia ni fumbo hujui kesho
 
Ukitoa wachache waliokufa wakivuka barabara wakati bendera nyekundu imewekwa kwenye magari mostly waliokufa wamekufa baada ya Mange kuwajaza upepo na kuwaambie wakalamba pasi.
Mbona 2019 uchaguzi ulikuwa wa ******* hamkupeleka pua road, The same 2020 uchaguzi ukawa uchafuzi mbona mlilia mitandaoni tu?
Mpaka MANGE alipowaambia sasa INGIENI ROAD majuzi ndo mkaingia
Wengi waliokufa sio waandamanaji, walifuatwa hadi nyumbani kwao, wakauliwa hukohuko. Wengine walikuwa wanashangaa maandamano barabarani wakauawa. Hawakujali wewe ni CCM au nini, as long as wewe ni raia wa kawaida. Unakula shaba
Muulize Sheikh Sharifu Majini.
 
Daktari. Hebu leo toka na pikipiki yako uliyopewa na Mama Samia uende nayo mjini. Utapigiwa miluzi mpaka ukome. Nadhani tunakoelekea ni watu kuwindana kwa itikadi za vyama, Utanganyika vs. Uzanzibari na hata Ukristo na Uislamu. Dalili zote ziko wazi ila inavyoonekana hakuna anayejali maana tuliowapa dhamana watuongoze wanawaza kufisadika tu!
Tusiombe tufike huko comrade. Nina imani mambo yatabadilika. Viongozi wetu nao ni watu na wana mioyo pia, kwa haya yaliyotokea watafanya kitu. Tuendelee kuwaunga mkono!
 
Mange kimambi aliwaambia vijana wasiogope walambe pasi ya moto tarehe 29 wataokolewa na wajeda.

Vijana wa Dar wakalamba pasi ya moto kwa siku moja na nusu wakaona hakuna ukombozi wakaacha wakakimbilia maghetoni kwao.

Vijana wa mikoani hawakutaka kupitwa na wala viepe nao wakaanza kuilamba pasi kwa bashasha, weee siku moja tu wakaacha.

Wengine masaa 4 tu hawakuwa na hamu tena ya kulamba pasi ya moto.

Mkifeli mnakimbilia ICC, hiyo ICC ni outdated takataka.

Vipi wale waliolamba nge kule Zanzibar 26/27 January 2001 ICC iliwasomesha watoto wao yatima?

Wake zao watu washaoa.

Sasa Mange anawapanga tena wakalambe nondo za moto kiwandani.

Mimi niko pale tarehe 10 Disemba nitakuwa nacheka tu.View attachment 3501133
Kipind unacheka utakua na kipisi cha dick cha Abdul nondo kwenye anal
 
Screenshot_20251111-130435~2.png
 
Unajiamini toa location tarehe Tisa watapita kwako.Mmekazana Mange Mange Mange.Mange ndio aliteka watu?alifanya ufisadi?Watu wanatoka sio kwa sababu ya Mange ni kwa sababu ya hao maboss zako
Njoo Goba mpakani stand ya bajaji uliza kwa mama G . Nyumba number 07.
 
Mange kimambi aliwaambia vijana wasiogope walambe pasi ya moto tarehe 29 wataokolewa na wajeda.

Vijana wa Dar wakalamba pasi ya moto kwa siku moja na nusu wakaona hakuna ukombozi wakaacha wakakimbilia maghetoni kwao.

Vijana wa mikoani hawakutaka kupitwa na wala viepe nao wakaanza kuilamba pasi kwa bashasha, weee siku moja tu wakaacha.

Wengine masaa 4 tu hawakuwa na hamu tena ya kulamba pasi ya moto.

Mkifeli mnakimbilia ICC, hiyo ICC ni outdated takataka.

Vipi wale waliolamba nge kule Zanzibar 26/27 January 2001 ICC iliwasomesha watoto wao yatima?

Wake zao watu washaoa.

Sasa Mange anawapanga tena wakalambe nondo za moto kiwandani.

Mimi niko pale tarehe 10 Disemba nitakuwa nacheka tu.View attachment 3501133
‎THE CLEAR MESSAGE FROM TRUMP
‎
‎God has blessed your country. Go back and hold your corrupt leaders accountable. Stop loitering the streets of America.
‎
‎If Americans were docile and refused to initiate Revolution, then you would never see such an amazing nation like USA.
‎
‎If France kept mum in 1775, you wouldn't see a developed nation like France.
‎
‎If you like, keep playing tribal politics in suffering while your ruling class loot with reckless abandon.
‎
‎Stop depending on WHO for subsidized drugs. At your age, you ought to have home-made drugs for common ailments. On that ground, America has left WHO.
‎
‎Why must your country depend on the goodwill from WHO? Has God not blessed your country with professors of medicine, pharmacy, etc who could develop your nations hospitals?
‎
‎Go and hold your ruling class accountable for rots in health care delivery. When they are sick, they run to USA for treatment with your national resources.
‎
‎Keep playing tribal politics but get out of USA. If you're ready, you will take over your country from destiny destroying ruling class as they did in France.
‎
‎All decent nations have accurate population index. Even in hell fire, God has a record of those in it. America belongs to Americans not indians, Nigerians, Chinese, Mexicans, and other nationals who want good life and escaped to USA.
‎
‎We fought for liberty and advancement. Keep quiet and wait for angels to repair your bad roads. Remain dumb as ministers, Governors, commissioners, etc loot in trillions.
‎
‎Return to your country and change the narratives. No more running to America with your heavily pregnant wives. You want them to give birth in America and automatically become citizens of America. That is revoked immediately.
‎
‎Are you praying for God to fix your bad roads? Keep praying. Was it God that fix the roads you see in USA, France, UK, Canada, Saudi, etc? Remain in your country and face the rots. If you like allow electoral umpire to be under your corrupt Politicians. Allow them to keep rigging while your religious leaders sing to your ears that those rigged into power are "God's will for your country"!
‎
‎If truly you are tired of your country, arise and face the rulling class squarely. The french people in their millions didn't fear the military. They all involved in the Revolution that gave birth to a New France.
‎
‎Ohhhh, are you fasting to have stable electricity? Just continue. If you don't want to pay the price, why do you run to USA, France, Canada, etc for a better life? Remain in your country and enjoy the consequences of being docile.
‎
‎
‎The message is clear. Let it sink into the skulls of all those who desire a new Africa
‎
 
Back
Top Bottom