Gaspare Mbile
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 1,568
- 1,603
Umesahau mmoja JPM naye yupo humu humuwewe si mgeni utaelewa tu mbele wana ficha nini ila kaa ukijua jf kuna MATAPELI ,MAJAMBAZI,WACHAWI,WAGANGA WA KIENYEJI,MAWAZIRI NA MANAIBU WAO,MA KADA NDO WAZEE WA FUJO JUKWAA LA SIASA LIZABON NA WENZIE UVCCM, MAKADA WA BAVICHA , MA PROFESA WAPO UMU SO JF NI PANA SANA NDO MANA KUKUTA WENYE ID ZA KWEL ZENYE MAJINA YAO LABDA 5 KWA 100
Isije kuwa panya rd huyu anataka achore ramani.
mim anani udhi uyooo jamaaaa kwa kwer ila za mwiz 40Umesahau mmoja JPM naye yupo humu humu
KigaliIV watu wa jamii Forum Kwao wapi naona wanatoa maoni tu ila Ata namba zao za simu hazionekani wala wao hawajulikan wanaish wap. Ukitaka kukoment uzi u jitaje kwako wap
[emoji3] [emoji3] [emoji3]mm kwetu kombweve
Dah mitandao mingine bwana watu hawasemi kwaonipo tarafa ya mfyoza kata ya bwembwela kijiji cha bupu kitongoji cha dwandwa.......karibu......
Hongera mkuu ukishiwa bando niambieBombambili, Songea.
Mimi nko mkoani apa mkuuWewe kwenu kwani wapi?? Mbona hujataja ulipo au umeanzisha uzi ukiwa wapi..
Mimi nimecoment nikiwa huku umburukushkush..
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwetu Giningi !!
Wengine makazi yao kuzimu[emoji88] [emoji88] [emoji88]IV watu wa jamii Forum Kwao wapi naona wanatoa maoni tu ila Ata namba zao za simu hazionekani wala wao hawajulikan wanaish wap. Ukitaka kukoment uzi u jitaje kwako wap
Umeandika nini we kijakazi ?kwangu kunfukoikoikoi.. unapanda kulia ena kushoto uanshuka chini halafu uanakaa katikati hapo ndiyo kwangu
OK zipo ila hujui jinsi ya kuzipata yako hii hapaInaonekana raia hawajaelewa lengo la uzi huu Nimezoea mitandao ming mathalan Facebook, kunakua na full profile detail lakin humu sijaona inamaana umu watu hawana Kwao Naona apo pameeleweka
mkuu hapo ndiyo kwanguUmeandika nini we kijakazi ?
Anza wewe kwa kuwa varified user.Kwa nini iwe Siri ivyo mkuu wanaficha nini?