Kabla hujenda kulala pitia hapa.

Kabla hujenda kulala pitia hapa.

wewe si mgeni utaelewa tu mbele wana ficha nini ila kaa ukijua jf kuna MATAPELI ,MAJAMBAZI,WACHAWI,WAGANGA WA KIENYEJI,MAWAZIRI NA MANAIBU WAO,MA KADA NDO WAZEE WA FUJO JUKWAA LA SIASA LIZABON NA WENZIE UVCCM, MAKADA WA BAVICHA , MA PROFESA WAPO UMU SO JF NI PANA SANA NDO MANA KUKUTA WENYE ID ZA KWEL ZENYE MAJINA YAO LABDA 5 KWA 100
Umesahau mmoja JPM naye yupo humu humu
Isije kuwa panya rd huyu anataka achore ramani.
 
Wewe kwenu kwani wapi?? Mbona hujataja ulipo au umeanzisha uzi ukiwa wapi..
Mimi nimecoment nikiwa huku umburukushkush..
 
pole sana na uzi wako ma mods washa ukata na kichinjio chao
 
nipo tarafa ya mfyoza kata ya bwembwela kijiji cha bupu kitongoji cha dwandwa.......karibu......
 
kwangu kunfukoikoikoi.. unapanda kulia tena kushoto unashuka chini halafu unakaa katikati hapo ndiyo kwangu
 
Inaonekana raia hawajaelewa lengo la uzi huu Nimezoea mitandao ming mathalan Facebook, kunakua na full profile detail lakin humu sijaona inamaana umu watu hawana Kwao Naona apo pameeleweka
OK zipo ila hujui jinsi ya kuzipata yako hii hapa
bb90d282dcabbae27e076da988f6b151.jpg
 
Back
Top Bottom