Kabla Movie Haijatafrisiriwa,/Hajapata Uraia Pacha...!!

Mwacheni Twalibu kwa sasa yuko kwenye mahusiano na m-russia πŸ˜‚
Uliona clip yuko hotels afu ni Dubenga, sasa katoka room yuko na hangover. Maraa aachie mashuzi, afu anashika tako na kunusa afu anasonyaa.

Kumbe ile room kulikua na mwanaume wa kizungu walikua wote, katoka nje pale mlangoni twalibu kumuona tu katoka nduki huku anatukanaa.
Mzungu yule anachekaaaa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
In
Asikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…