Kabla Movie Haijatafrisiriwa,/Hajapata Uraia Pacha...!!

Halafu sasa hivi si anadai ameoa au anatuzingua😁
😂😂😂 lazima aoe, waja wamemkalia kooni sana,
Nimekumbuka Jack Donna, hadi mahari, kodi ya nyumba, waja walimchangia na 3M Juu za kuanzia maisha,
Mbona katupa taulo, karudi kuchezea madushe ya wana.
😂😂😂😂

Aggrey nae mara anabipu kuona Waja wana react vipi, then anaendelea na utumishi, akiona Waja wamemsahau anarudi kule kule kuchezea mti nyama.

Twalib ndio hawezi kabisa ku pretend, atakua anakiwasha na anawashwa,
Sio shida zake kabisaa.
😂😂😂
 
🤣🤣🤣 Aggrey nae kumbe bado yumo eeh
 
Likizo hii nipo nae home wa kwangu ..nami nimechukua likizo..
Ni kumpa misingi na kumsoma
Kwamba ukiwa unamsoma ndio nini? Ushoga uko kwenye mindset, yaani akiamua anakua tu hata awe mtu mzima, au achungwe vipi.
Ila siombei mabayaa.
 
Ndio kama ningegundua anamindset mbovu naweza kurekebisha..
Nashukuru Mungu he is doing better
 
Huyo msenge nilisoma nae benjamin mkapa form 1&2..
Alikuwa na kila dalili wangemuwahi angesalimika
Ila miaka ya nyuma hasa sisi tuliokuwa bush haya mambo tulikuwa hatuelewi kabisa yaani, tunajua mtu ndio yuko hivyo ila kwamba watu wa jinsia moja wanaweza kuwa wapenzi hatukujua kabisa
 
Back
Top Bottom