Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Halafu unakumbuka kuna siku tulimsema mtu mmoja wa kule kwenu ila hukunimalizia kama nae ndio vile au laSahivi ni mtumishi atii 😂😂😂
Halafu unakumbuka kuna siku tulimsema mtu mmoja wa kule kwenu ila hukunimalizia kama nae ndio vile au laSahivi ni mtumishi atii 😂😂😂
Je km hajaamua ugundue? Kunao watu wanafanya hayo mambo na huwezi kuwajua kamwee, hadi uwe kwenye circle yake au access nae kupitia hayo masuala..Ndio kama ningegundua anamindset mbovu naweza kurekebisha..
Nashukuru Mungu he is doing better
Mbona nilisema ni vile vile kabisa, si ni mwalimu??Halafu unakumbuka kuna siku tulimsema mtu mmoja wa kule kwenu ila hukunimalizia kama nae ndio vile au la
Ukiwa unaenda tena unibebe na mimi basiIka nimerudi bongo likizo🤣🤣
Duuh basi sikuona, mama yake amekula hasaraMbona nilisema ni vile vile kabisa, si ni mwalimu??
Utandawazi ndio umeamua iwe hivi, hata sasa ikiamuliwa wachukuliwe km wamezaliwa hivyo na wasirubuniwe mbona hakuna shida.Ila miaka ya nyuma hasa sisi tuliokuwa bush haya mambo tulikuwa hatuelewi kabisa yaani, tunajua mtu ndio yuko hivyo ila kwamba watu wa jinsia moja wanaweza kuwa wapenzi hatukujua kabisa
Kila mtu na madhaifu/mapungufu yake.Duuh basi sikuona, mama yake amekula hasara
Mzazi unatakiwa ufanye kwa nafasi yako. Yakitokea ambayo yapo beyond your reach huna hatiaJe km hajaamua ugundue? Kunao watu wanafanya hayo mambo na huwezi kuwajua kamwee, hadi uwe kwenye circle yake au access nae kupitia hayo masuala..
😁😁 Hayo ya kitambo achana nayo tugange yajayoHahaaaa ..
Wewe nimeanza kitambo ukazingu..
Enzi nimetoka kwa madame B😅😅
Asiiine cocastic
Ni kweliKila mtu na madhaifu/mapungufu yake.
Inasaidia sana kupata wasaa na kukaa naeOfcoz najitahidi kubalansi likizo yake na yangu ili apate wasaa wakuwa pa1
Wewee!! Sio kwamba nabeza juhudi ya malezi yako hapana, ila when it comes kwenye hili jambo, omba lisitokee.Ndugu ..
Binafsi reference ambaye naimudu cognitive yake
😂😂😂Hahaaaa ..
Wewe nimeanza kitambo ukazingu..
Enzi nimetoka kwa madame B😅😅
Asiiine cocastic
Uko sahihi sana Dear, hili ni muhimu.Mzazi unatakiwa ufanye kwa nafasi yako. Yakitokea ambayo yapo beyond your reach huna hatia
Ostaadh au mnigeriaKumbe Twalib alikua ni ostaadh kabisaa?
Woiiiiih
OstaadhOstaadh au mnigeria
Twalib nani na wa wapiOstaadh