Kabla sijaacha kazi nilishiriki siasa na niliona makosa ya wazi kabisa!

Acha story za kitoto. Umesahau kwa nini JK alimrudisha kuwa waziri wa Ujenzi baada ya Shukuru Kawambwa kupwaya?
Kama sasa hivi kuna ufisadi unaodai kufanyika Je hii miradi kama JNHPP ingefanyika,au hospital na vituo vya afya vingelijengwa?
 
Pole sana mkuu umeongea kwa uchungu kitu unacho kijua, cha msingi ungana na wale walio jitoa mhanga ili kuhakikisha haki inarudishwa miongoni mwa wananchi.
 
Ccm ishaishiwa pumzi
kwanza aangalie matokeo ya Burundi kwa Nkurunzinza
ndio abwabwaje, huko Idukilo Singapore
km wanyaturu na wanyiramba watampigia KULA
 
Wafanyakazi wanadeka sana Mkuu

Hii Nchi ina watu milion 60 kati ya hao wafanyakazi hawafiki milion serkalini

Je ingekuwa wewe ungetoa kipaumbele kwa nani?
WAFANYAKAZI WANALIHUDUMIA TAIFA NA NDO NGUZO KUBWA YA KUJENGA UCHUMI .. mkuu imenibidi niandike Kwa herufi kubwa,,hebu kaa chini hapo Kwa DK 5 Tu utoe ushabiki WA chama,,ufikirie bila madaktari ,,bila walimu( hawa ndo wanafanyaengine yawezekana ingawa si papo Kwa papo), bila watalam WA kilimo,,bila wahandisi,, maisha yangekua vipi?.. Then kama kweli utarudi na JIBU ulilo TOA ,,Basi itakubidi ukae karibu na Dodoma isiwe KAZI kukukimbiza milembe
 
Na kama kweli CCM ingekua inakubalika Kwa wananchi isingekua inacheza rafu za wazi.wazi,,
 
Ushamkimbiza jukwaani
 
Tena Tokyo kabisa, yaani Kumamoto kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulishiriki siasa au unashiriki siasa? Naangalia ulichoandika, hakiendani na hali halisi. Nini kinaleta mateso kwa waajiliwa wa serikali? Mishahara au wizi haupo? Kuna kulia lia kwingi bila kusema wapi panaumiza. Mtu anasema maisha magumu kwa 'watumishi' wa serikali, lakini hasemi ni kwa nini.
 
Kwani ni kwa nini maisha ni magumu kwa watumishi wa umma? Mwenyewe hujaeleza. Nilishiriki wkt huo wkt sikutakiwa kufanya hivyo!
 
Watu wenye kadi za CCM hamchelewi kuzikumbuka

Watu tunaowaamini Ni wale ambao hata hio kadi hawajawahi Iona[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ni kwa nini maisha ni magumu kwa watumishi wa umma? Mwenyewe hujaeleza. Nilishiriki wkt huo wkt sikutakiwa kufanya hivyo!
Kama maisha ni magumu kwako, siyo kwangu. Kama ni magumu leo ni hakika yalikuwa magumu siku nyingi tu, au ulikuwa mwizi, sasa umebanwa!
 
Kama maisha ni magumu kwako, siyo kwangu. Kama ni magumu leo ni hakika yalikuwa magumu siku nyingi tu, au ulikuwa mwizi, sasa umebanwa!
Nitabanawaje sasa wkt nilishatoka huko na nimejiajiri. Mie nawaona tu wanavyokwama kunirejeshea mikopo ninayowakopesha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…