Kabla sijaacha kazi nilishiriki siasa na niliona makosa ya wazi kabisa!

Kabla sijaacha kazi nilishiriki siasa na niliona makosa ya wazi kabisa!

Baada ya kutembelea baadhi ya nchi za Afrika, nimekuta system ya ulaji ni ile ile kama ndugu yangu ulivyoelezea na nikaishia tu kusema black people tumelaaniwa au tuko kwenye transition period ya kuwa watu maana mpaka najishangaa ninapomuona hata mtu msomi anafanya mambo ya ajabu ajabu. The only way ya sisi waafrika kuendelea ni kuwa na mapinduzi katika ufahamu wetu wa kujua kitu cha serikali ni chake na akitumie kwa uangalifu kwa ajili ya kusaidia kizazi kijacho.
 
Back
Top Bottom