Kabla sijaenda kufanyiwa Operation Jumatatu nina ujumbe kwa waJF kadhaa

Worry out.
Tumbo langu haliwezi hifadhi taka na kama ni taka ya aina hiyo bora ifie huko tumboni isione mwanga wa dunia hii.
Anaweza akawa CCM lkn ccm ya wakati huo huenda ikawa bora, usimlani mwanao kwa mambo yajayo.
 
Worry out.
Tumbo langu haliwezi hifadhi taka na kama ni taka ya aina hiyo bora ifie huko tumboni isione mwanga wa dunia hii.
Kama ni muamini basi Mungu akupatie kiumbe mwenye akili na hekima tele..
 
UJUMBE WA KWA WADADA WA JF: ACHANA NA WAUME ZA WATU.

MNA ATHIRI MAISHA YA FAMILIA HUSIKA NA WATOTO NDIO WANAATHIRIKA ZAIDI.

jagina zenu zina nguvu sana, kama vile zilivyo na uwezo wa kuumba vile vile zina uwezo wa kubomoa.
Kwakuwa hao waume za watu ni walemavu wa akili kwamba hawawezi kujiongoza kwa kutulia kwa ndoa zao?
 
Kila la heri ujifungue salama mkuu

NB:
Ukipata mtoto mpe jina la el nino
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…