Kabla sijaenda kufanyiwa Operation Jumatatu nina ujumbe kwa waJF kadhaa

Mama k Hapo Namba 10 umetunywesha chai ya moto sana. Nina zawadi ya mtoto pamoja na mama yake uniambie namna ya kukufikishia. Nakuombea afya njema utuletee kijana.
 
Hongera mdogo wetu, tunaamini utaingia fieta na kutoka salama wewe pamoja na mpwa wetu.

Mwenyezi asimame na wewe, amina!
 
Mama k Hapo Namba 10 umetunywesha chai ya moto sana. Nina zawadi ya mtoto pamoja na mama yake uniambie namna ya kukufikishia. Nakuombea afya njema utuletee kijana.
Kwann chai mkuu?

Nitakujulisha mkuu.

Amen asante๐Ÿ™
 
Hongera mdogo wetu, tunaamini utaingia fieta na kutoka salama wewe pamoja na mpwa wetu.

Mwenyezi asimame na wewe, amina!
Asante mkuu.
Fieta kunatisha ila nitavuka salama.
Amen.
 
UJUMBE WA KWA WADADA WA JF: ACHANA NA WAUME ZA WATU.

MNA ATHIRI MAISHA YA FAMILIA HUSIKA NA WATOTO NDIO WANAATHIRIKA ZAIDI.

jagina zenu zina nguvu sana, kama vile zilivyo na uwezo wa kuumba vile vile zina uwezo wa kubomoa.

๐Ÿ˜ณ๐Ÿค”speechless
How? Hao wanaume hawajiju8 km wana wake na familia?
 
Zaburi 118:- Hautakufa bali utaishi kushashuhudia MATENDO ya BWANA.
 
Umenipa mauwa yangu ila Umemaliza vibaya sana my lovely sis,

Unajua fika kabisa mimi sipendi kupindisha mambo, Sina hulka mbaya na sina tabia za kijinga. So it's them stupid people who need to see a psychiatrist not me the outspoken genius.

Anyways nakuombea ujifungue vyema,

Hautakufa bali utakuwa na furaha ya kuleta kiumbe kipya duniani
 
Zetu sisi ni DUA
 
Inasikitisha sana ๐Ÿ˜‚

Anyway, nakutakia kheri kwenye kujifungua kwako na naamini utamlea mwanao kwa njia zilizo sahihi.

Usisahau kumwambia dogo, kuwa mm mjomba wake nampenda sana ๐Ÿ’ช
 
Zaeni Tanzania Ni Kubwa
Mapori Bado Yapo Tele
Elimu Ni Bure Ndugu Zangu
Huna Haja Ya Kupanga Uzazi
๐ŸŒน๐ŸŒท
 
Uncle to be.
Dogo atakua akisumbua namleta kwako uhangaike nae umuambukize na ujiniaz,siwezi kufa akati watu wana ma uncle zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ