Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisa?Duh! ulishaachika 🤣🤣🤣🤣🤣
Kama hilo lako dah n mwendo wa wese tuuMh mbaga nimekuona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji4] unataka trakoo ulipake mafuta mkuu[emoji39]
Umekuja ki Unique Flower 🤭Mi mgeni nilitafuta mwanaume wakutulia naye. Sasa shida iko hivi kabla sijaweka picha kwenye avatar walitokea wachache ila nimeweka picha wametokeza wengi sana.
Mimi sio huyo kwenye picha mie nitofauti na huyo dada mie nina stara fulani ,mwanamke mwenye heshima na upendo.
Humu sitafuti stress .
Aslam alyekum
Alamsik
😳tako la nn Tena mkuuDaah tacall la Beesmom sio sawa na la Unique Flower aisee,
Tacall km tacall, mafura😳tako la nn Tena mkuu
AiseeTacall km tacall, mafura
🤣🤣🤣 Nimecheka kweli ulipomtag na kale kaemoji🙄
Naona kaja na kichupa cha mafura, 😂🤣🤣🤣 Nimecheka kweli ulipomtag na kale kaemoji🙄
🤣🤣🤣Aisee,ila unamwonea TU...huyo ni Mzee wa likesNaona kaja na kichupa cha mafura, 😂
Aje a-like na hapa basi, 😂 just kidding though🤣🤣🤣Aisee,ila unamwonea TU...huyo ni Mzee wa likes
Una "uwakika"?Mi mgeni nilitafuta mwanaume wakutulia naye. Sasa shida iko hivi kabla sijaweka picha kwenye avatar walitokea wachache ila nimeweka picha wametokeza wengi sana.
Mimi sio huyo kwenye picha mie nitofauti na huyo dada mie nina stara fulani ,mwanamke mwenye heshima na upendo.
Humu sitafuti stress .
Aslam alyekum
Alamsik
🤣Nimechoka kucheka mie nalala🙄Aje a-like na hapa basi, 😂 just kidding though
Uhakika tafadhali....la sivyo malizia usingiziUna "uwakika"?
Mapema mno hivi saa ngap uko Tukuyu?🤣Nimechoka kucheka mie nalala🙄