Kabla sijaweka picha kwenye avatar walitokea wachache ila nimeweka picha wametokeza wengi

Kabla sijaweka picha kwenye avatar walitokea wachache ila nimeweka picha wametokeza wengi

SweetyCandy nije PM au unaanza wewe? Ebu nijaribu tuone kama tunaweza kumatch.

Mkuu mzabzab nataka nitulie hapa mniombee brother.
 
Mi mgeni nilitafuta mwanaume wakutulia naye. Sasa shida iko hivi kabla sijaweka picha kwenye avatar walitokea wachache ila nimeweka picha wametokeza wengi sana.

Mimi sio huyo kwenye picha mie nitofauti na huyo dada mie nina stara fulani ,mwanamke mwenye heshima na upendo.
Humu sitafuti stress .

Aslam alyekum
Alamsik
Umekuja ki Unique Flower 🤭
 
Tupia avtar kama yangu tuone Nan zaid

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu goroko77 una nia gan lakin kutugeuzia mattercall? Sijakuelewa
Screenshot_20221006-225526.png

Tacall km tacall
 
Mi mgeni nilitafuta mwanaume wakutulia naye. Sasa shida iko hivi kabla sijaweka picha kwenye avatar walitokea wachache ila nimeweka picha wametokeza wengi sana.

Mimi sio huyo kwenye picha mie nitofauti na huyo dada mie nina stara fulani ,mwanamke mwenye heshima na upendo.
Humu sitafuti stress .

Aslam alyekum
Alamsik
Una "uwakika"?
 
Back
Top Bottom