Sahv? Niote nichekweNkajua umelala?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Unaambiwa maisha ya baadae baada ya kifo Nyerere atazaliwa Tausi na ataishi ikulu.Sasa wewe na kina sie sijui mwanzo tulikuwa nini??!!!Labda wewe ulikuwa hata punda ulaya mkuu
Afu mkuu una dalili zote za mapepo mkuu,unahitaji maombi maana utajua vipi kingereza bila kusoma wala kufundishwa!!!!
[emoji3][emoji3][emoji3]na unavokoromaga!heheSahv? Niote nichekwe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Waweza ota una Noah zilizotolewa bure na serikali, au labda mwenyekiti wa ccm kibiti, au mtoto wako wa kike au dada yako kapata mimba shuleni, pia waweza kwenda mbali zaidi na kuota wewe ndio malinzi na umepiga madola yote yale na pia ukashinda uchaguzi TFF! Ndio, sio ndoto bana!
Weeeeeee haiwezekani kabisaaaa[emoji3][emoji3][emoji3]na unavokoromaga!hehe
Hahahaha kama hujui beyonce na ukali wake wote ule anakoroma kishenziWeeeeeee haiwezekani kabisaaaa
Mrembo kam mm nikorome[emoji12] [emoji12]
Tehteeeh acha uwongo umejuajeHahahaha kama hujui beyonce na ukali wake wote ule anakoroma kishenzi
Hehe ndo maana unajitetea kuwa hukoromi kwamba sijui? Wee koroma tu nimebaki kukurekodiTehteeeh acha uwongo umejuaje
Mxieeeeeeeeuuuu unarekodi na nni au sikuhz kuna bluetooth za kurekodiaHehe ndo maana unajitetea kuwa hukoromi kwamba sijui? Wee koroma tu nimebaki kukurekodi
Hehe utakuwa mrs harmorapa maana si kwa msonyo huoMxieeeeeeeeuuuu unarekodi na nni au sikuhz kuna bluetooth za kurekodia
[emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji137]Hehe utakuwa mrs harmorapa maana si kwa msonyo huo
Hehe[emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji137]
Daa mrembo upo mama?Duuuuuuuh maajabu haya sasa
Nipo babaDaa mrembo upo mama?
Natamani sana one day nichati pm kwako ili nitoe ya moyoni hadi nitapasuka, mpe hai jirani yako,tell them i miss u allNipo baba
Haha jirani yupi?Natamani sana one day nichati pm kwako ili nitoe ya moyoni hadi nitapasuka, mpe hai jirani yako,tell them i miss u all