Kabla sijazaliwa Tanzania nilikuwa mzungu niliyeishi Marekani

Kabla sijazaliwa Tanzania nilikuwa mzungu niliyeishi Marekani

Unaambiwa maisha ya baadae baada ya kifo Nyerere atazaliwa Tausi na ataishi ikulu.Sasa wewe na kina sie sijui mwanzo tulikuwa nini??!!!Labda wewe ulikuwa hata punda ulaya mkuu
Afu mkuu una dalili zote za mapepo mkuu,unahitaji maombi maana utajua vipi kingereza bila kusoma wala kufundishwa!!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Waweza ota una Noah zilizotolewa bure na serikali, au labda mwenyekiti wa ccm kibiti, au mtoto wako wa kike au dada yako kapata mimba shuleni, pia waweza kwenda mbali zaidi na kuota wewe ndio malinzi na umepiga madola yote yale na pia ukashinda uchaguzi TFF! Ndio, sio ndoto bana!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom