Niliuona huu uzi nikaupita tu. Mara nyingine kujibizana sana hakuna tija.
We jamaa huwa unawaza nini?Hivi huyo Mungu alikuwa wapi asizuie hujuma hizi? Alisinzia kazini? Aliishiwa betri? Alienda likizo? Alikuwa kwenye lockdown ya Covid?
Kuna siku atakutokea kama alivyomtokea Paulo utakuja humu kutubuNiliuona huu uzi nikaupita tu. Mara nyingine kujibizana sana hakuna tija.
Ila kwa kuwa umeniita kwa mualiko maalum, nitachangia.
Kumtegemea Mungu - kama kweli tunaongelea Mungu, na si "figure of speech" tu- atusaidie kuwapatiliza waliohujumu uchaguzi, ni kuwawezesha hao waliohujumu uchaguzi waendelee kuhujumu uchaguzi.
Hivi huyo Mungu alikuwa wapi asizuie hujuma hizi? Alisinzia kazini? Aliishiwa betri? Alienda likizo? Alikuwa kwenye lockdown ya Covid?
Hii mentality ya kumtegemea Mungu hatuoni kwamba inatudumaza?
Yani pale watu wanapotakiwa kufanya harakati, kufungua kesi, kupigana, wanabaki kusema "hewala, Mungu atalipa".
Waliohujumu uchaguzi wakisikia hivyo wanafurahi sana. Wanajua hakuna kitakachotokea, huyo Mungu hayupo.
Angekuwepo Mungu wa haki, wasingeweza kuhujumu uchaguzi in the first place.
Tuache kumlundikia majukumu yetu Mungu ambaye hayupo.
Kama unataka kuleta mabadiliko, fanya kazi mwenyewe, acha kumsingizia na kumtegea Mungu.
Hakuna aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo
Hujanijibu.We jamaa huwa unawaza nini?
Tarehe ngapi, mwezi wa ngapi mwaka gani? Tuiweke kwenye kalenda na kuhakiki maneno yako.Kuna siku atakutokea kama alivyomtokea Paulo utakuja humu kutubu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makamanda mnaanza kuwa waganga
Hawa vijana wanaota, wapiga tarumbeta na zumari wanafikiri kushindwa kwao kuwa na uwezo wa kujiendeleza kunatokana na JPM. Hawafahamu kwamba kufeli kwao walipokuwa shuleni kunachangia kwa kiasi kikubwa kukwama kwao kimaisha na maendeleo yao wenyewe binafsi.Dua la kuku
Kwa kweli sina jibuHujanijibu.
Hivi huyo Mungu alikuwa wapi asizuie hujuma hizi? Alisinzia kazini? Aliishiwa betri? Alienda likizo? Alikuwa kwenye lockdown ya Covid?
Bora umekuwa mkweli.Kwa kweli sina jibu
Nimeambiwa Kuna mbunge mji kasoro bahari anaumwa Sana anakata moto soon tegeni sikio.Kama ambavyo uwezo na maajabu ya Mungu yamejidhihirisha katika tukio la Lissu kupigwa risasi na yote yaliyofuata baada ya hapo mpaka anakuja kugombea uraisi, ndivyo ambavyo uwezo na Mungu utajidhirisha kwa wale wote wanaotuhumiwa kuhujumu huu uchaguzi na hii itakuwa ni ndani ya miaka hii mitano.
Hint: Mungu ataonyesha kuwa yeye ndio mpangaji na mwamuzi wa kila kitu na kwamba kisicho riziki hakiliki na zaidi riziki ya mtu haipotei.
Kuna wakati unakuja tutaanza kuwahurumia hawa watu na wakati huo huo Mungu atakuwa ametoa soma kwa dunia nzima kupitia Taifa letu.
Tukumbuke pia Mungu huwa na makusudi kwa kila jambo -- huruhusu mambo au matukio fulani yatokee ili aje adhihirishe utukufu wake.
Hifadhi hii thread kwa ajili ya kuja kufanya reference wakati utapofika/matukio yakianza kujitokeza.
Time will tell.
Siku zote ukiona neno MUNGU basi unakimbilia kutaka uthibitisho,ingekuwa kila jambo tunadai uthibitisho basi sijui ingekuaje.Bora umekuwa mkweli.
Hakuna anayeweza kuthibitisha Mungu huyo yupo.
Hivyo, kama watu wanataka kuona mabadiliko, wafanye kazi wao wenyewe.
Waache kumtwisha mzigo wa mabadiliko wanayoyataka Mungu ambaye hawawezi kuthibitisha yupo.
Mwisho wa siku wote tunaishia kufa, hivyo kuongelea kwamba Binadamu xyz akifariki ni kwamba kaadhibiwa ni ujinga na utoto, kwanza hata baadhi ya watoto wanajua kwamba maisha na vyote vilivyomo kuna mwisho, ...
Salary SlipKama ambavyo uwezo na maajabu ya Mungu yamejidhihirisha katika tukio la Lissu kupigwa risasi na yote yaliyofuata baada ya hapo mpaka anakuja kugombea uraisi, ndivyo ambavyo uwezo na Mungu utajidhirisha kwa wale wote wanaotuhumiwa kuhujumu huu uchaguzi na hii itakuwa ni ndani ya miaka hii mitano.
Hint: Mungu ataonyesha kuwa yeye ndio mpangaji na mwamuzi wa kila kitu na kwamba kisicho riziki hakiliki na zaidi riziki ya mtu haipotei.
Kuna wakati unakuja tutaanza kuwahurumia hawa watu na wakati huo huo Mungu atakuwa ametoa soma kwa dunia nzima kupitia Taifa letu.
Tukumbuke pia Mungu huwa na makusudi kwa kila jambo -- huruhusu mambo au matukio fulani yatokee ili aje adhihirishe utukufu wake.
Hifadhi hii thread kwa ajili ya kuja kufanya reference wakati utapofika/matukio yakianza kujitokeza.
Time will tell.