Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Watu waouvu ukawia kufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Magufuli anahusiana vipi na hii thread labda?Kuna watu mnateseka sana moyoni na Magufuli kuwa Rais.
Hujathibitisha Mungu yupo.Siku zote ukiona neno MUNGU basi unakimbilia kutaka uthibitisho,ingekuwa kila jambo tunadai uthibitisho basi sijui ingekuaje.
Mara zote huwa nakwambia kwenye suala la Mungu,point ni KUAMINI uwepo wake maana ni suala la imani ndio maana kuna wenye kuamini na ambao hawaamini,ila wewe unatutoa huko kutuleta kwenye uthibitisho ili tukose uthibitisho na useme hakuna Mungu kisa hakuna uthibitisho.
Mungu wa CHADEMA ndiyo unaye msema! Lakini kama ni mungu wa kweli (Allah), huyo ameisha tenda na kaipa CCM ushindi wa kishindo. Saliti kalikimbizia mbali ubelgiji - ulaya.Kama ambavyo uwezo na maajabu ya Mungu yamejidhihirisha katika tukio la Lissu kupigwa risasi na yote yaliyofuata baada ya hapo mpaka anakuja kugombea uraisi, ndivyo ambavyo uwezo na Mungu utajidhirisha kwa wale wote wanaotuhumiwa kuhujumu huu uchaguzi na hii itakuwa ni ndani ya miaka hii mitano.
Hint: Mungu ataonyesha kuwa yeye ndio mpangaji na mwamuzi wa kila kitu na kwamba kisicho riziki hakiliki na zaidi riziki ya mtu haipotei.
Kuna wakati unakuja tutaanza kuwahurumia hawa watu na wakati huo huo Mungu atakuwa ametoa soma kwa dunia nzima kupitia Taifa letu.
Tukumbuke pia Mungu huwa na makusudi kwa kila jambo -- huruhusu mambo au matukio fulani yatokee ili aje adhihirishe utukufu wake.
Hifadhi hii thread kwa ajili ya kuja kufanya reference wakati utapofika/matukio yakianza kujitokeza.
Time will tell.
Kamuulize G Lema ndoto zake ziliishia wapi? Ukitaka kujua hayo mawazo yako ni ushetani tu jitokeze uwekwe gerezani uone kama hiyo ndoto yako itatimia.Kama ambavyo uwezo na maajabu ya Mungu yamejidhihirisha katika tukio la Lissu kupigwa risasi na yote yaliyofuata baada ya hapo mpaka anakuja kugombea uraisi, ndivyo ambavyo uwezo na Mungu utajidhirisha kwa wale wote wanaotuhumiwa kuhujumu huu uchaguzi na hii itakuwa ni ndani ya miaka hii mitano.
Hint: Mungu ataonyesha kuwa yeye ndio mpangaji na mwamuzi wa kila kitu na kwamba kisicho riziki hakiliki na zaidi riziki ya mtu haipotei.
Kuna wakati unakuja tutaanza kuwahurumia hawa watu na wakati huo huo Mungu atakuwa ametoa soma kwa dunia nzima kupitia Taifa letu.
Tukumbuke pia Mungu huwa na makusudi kwa kila jambo -- huruhusu mambo au matukio fulani yatokee ili aje adhihirishe utukufu wake.
Hifadhi hii thread kwa ajili ya kuja kufanya reference wakati utapofika/matukio yakianza kujitokeza.
Time will tell.
Dah we jamaa na hoja zako za uthibitisho wa Mungu sijui unataka umuone kwa macho?Hujathibitisha Mungu yupo.
Imani hata wewe unaweza kujiaminisha ni Mungu.
Bado hata wewe hujathibitisha Mungu yupo.Dah we jamaa na hoja zako za uthibitisho wa Mungu sijui unataka umuone kwa macho?
Mie nadhani ungeachana na hizi propaganda zako rahisi,eti anajichaficha wapi,nani aliyekwambia anajificha ficha.
Wewe kama dhamira yako imeisha isiwe tabu kwa wengine.
Dah! Heri "unge-peter" mbali tu maana kichwa kilishakujamu tayari. Unasema aliyekuleta hayupo? Na ndiye aliondoa Mr Kovidi-19??? Shame on you!!!Niliuona huu uzi nikaupita tu. Mara nyingine kujibizana sana hakuna tija.
Ila kwa kuwa umeniita kwa mualiko maalum, nitachangia.
Kumtegemea Mungu - kama kweli tunaongelea Mungu, na si "figure of speech" tu- atusaidie kuwapatiliza waliohujumu uchaguzi, ni kuwawezesha hao waliohujumu uchaguzi waendelee kuhujumu uchaguzi.
Hivi huyo Mungu alikuwa wapi asizuie hujuma hizi? Alisinzia kazini? Aliishiwa betri? Alienda likizo? Alikuwa kwenye lockdown ya Covid?
Hii mentality ya kumtegemea Mungu hatuoni kwamba inatudumaza?
Yani pale watu wanapotakiwa kufanya harakati, kufungua kesi, kupigana, wanabaki kusema "hewala, Mungu atalipa".
Waliohujumu uchaguzi wakisikia hivyo wanafurahi sana. Wanajua hakuna kitakachotokea, huyo Mungu hayupo.
Angekuwepo Mungu wa haki, wasingeweza kuhujumu uchaguzi in the first place.
Tuache kumlundikia majukumu yetu Mungu ambaye hayupo.
Kama unataka kuleta mabadiliko, fanya kazi mwenyewe, acha kumsingizia na kumtegea Mungu.
Hakuna aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo.
Asante sana mkuu.Salary Slip
Naunga mkono unabii wako kwa asilimia 100
HakujawahiHakujawahi kutokea katika historia ya dunia hii, kwa uovu uweze kushinda ukweli.
Nami naendelea kusisitiza, Time will Tell
Si lazima iwe leo au kesho kama unavyofikiri wewe.Kamuulize G Lema ndoto zake ziliishia wapi? Ukitaka kujua hayo mawazo yako ni ushetani tu jitokeze uwekwe gerezani uone kama hiyo ndoto yako itatimia.
Ukitoka huko hata ndoto hutaikumbuka
Hivi Chadema imeandikwa kwenye kitabu chochote cha dini kuwa lazima iwe na wabunge wengi Bungeni?Kama ambavyo uwezo na maajabu ya Mungu yamejidhihirisha katika tukio la Lissu kupigwa risasi na yote yaliyofuata baada ya hapo mpaka anakuja kugombea uraisi, ndivyo ambavyo uwezo na Mungu utajidhirisha kwa wale wote wanaotuhumiwa kuhujumu huu uchaguzi na hii itakuwa ni ndani ya miaka hii mitano.
Hint: Mungu ataonyesha kuwa yeye ndio mpangaji na mwamuzi wa kila kitu na kwamba kisicho riziki hakiliki na zaidi riziki ya mtu haipotei.
Kuna wakati unakuja tutaanza kuwahurumia hawa watu na wakati huo huo Mungu atakuwa ametoa soma kwa dunia nzima kupitia Taifa letu.
Tukumbuke pia Mungu huwa na makusudi kwa kila jambo -- huruhusu mambo au matukio fulani yatokee ili aje adhihirishe utukufu wake.
Hifadhi hii thread kwa ajili ya kuja kufanya reference wakati utapofika/matukio yakianza kujitokeza.
Time will tell.
😂😂😂😂😂Magufuli hakufaa hata kuwa mwenyekiti wa kijiji , nchi imekwama kibwege sana !
Sio kwa Mungu ndugu. Chunga ulimi wako.Dua la kuku
Mungu ni huwatendea haki watu wote na vile vile hupuuza wazushi. Usidhani kuwa mungu ni wa upande wako tu.Sio kwa Mungu ndugu. Chunga ulimi wako.
Wezi wa kura hakika watajuta ndani ya miaka hii 5. Hatima yao ndiyo ajira ya wahafidhina. Mwana kulitaka mwana kulipewa.Kama ambavyo uwezo na maajabu ya Mungu yamejidhihirisha katika tukio la Lissu kupigwa risasi na yote yaliyofuata baada ya hapo mpaka anakuja kugombea uraisi, ndivyo ambavyo uwezo na Mungu utajidhirisha kwa wale wote wanaotuhumiwa kuhujumu huu uchaguzi na hii itakuwa ni ndani ya miaka hii mitano.
Hint: Mungu ataonyesha kuwa yeye ndio mpangaji na mwamuzi wa kila kitu na kwamba kisicho riziki hakiliki na zaidi riziki ya mtu haipotei.
Kuna wakati unakuja tutaanza kuwahurumia hawa watu na wakati huo huo Mungu atakuwa ametoa soma kwa dunia nzima kupitia Taifa letu.
Tukumbuke pia Mungu huwa na makusudi kwa kila jambo -- huruhusu mambo au matukio fulani yatokee ili aje adhihirishe utukufu wake.
Hifadhi hii thread kwa ajili ya kuja kufanya reference wakati utapofika/matukio yakianza kujitokeza.
Time will tell.
Umekwama wewe na wanasiasa wasio na tija kwa taifa, wanakimbilia Kenya wakifanya siasa zaMagufuli hakufaa hata kuwa mwenyekiti wa kijiji , nchi imekwama kibwege sana !
Hakuna mtu anateseka magu ni Mtanzania mwenzetu japo inasemekana ni waraia wa asili ya nchi jirani,hilo sio tatizo kwani waTanzania walio wengi tumetokea misitu ya Congo.Kuna watu mnateseka sana moyoni na Magufuli kuwa Rais.