sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hakuna kitu kinaitwa "Unyonyaji" kwenye dunia ya mabepari. Umepewa mkataba, unapewa muda ukausoma na kutafakari, ukaona unafaa, ukatia saini. Hakuna la ziada hapo.
Nitaamini Wasafi ni wanyonyaji siku akitokea mtu akatae mkataba wao mwanzoni kabisa kabla ya kupata umaarufu.
Kama unaona ni gharama nenda nje upambane kivyako ,mwenyewe, Shida iko wapi kwani? ila ujipange sasa...
Sio mtu unatolewa manzese huko, watu wanakubrand, wanakupambania unahit mpaka nje ya nchi, alafu wakichukua gawio lao la uwekezaji wao walofanya kwako unasema eti wanyonyaji. Hakuna free lunch dadek!
Msanii akipata jina kawa mkubwa na akishaona hela nyingi zinaingia kwenye label anaingia tamaa anatamani hela yote angekuwa anapata yeye, yaani anasahau kabisa alikotolewa na gharama zilizotumika kumfanya mpaka awe sehemu alipo.
Msanii kaitwa kupiga show kwa milioni 20, Lebo inachukua gawio lake 60% sawa na milioni 12 na wanamwachia msanii gawio lake 40% sawa na milioni 8, msanii anaanza kulalamika ohh nanyonywa !! anashindwa kujua hii ni biashara ambayo lebo imewekeza hela nyingi kwake takribani milioni 500, pesa hizi si zawadi jamani, Ni uwekezaji
Kumbuka sio kila msanii anarudisha pesa waliyotumia kumuwekezea, kuna kina lava lava sidhani kama pesa ya uwekezaji imerudi

- Kajitaftie maneneja wenye uzoefu kama babu tale, salam na mkubwa fela
- kajilipie shooting mwenyewe kwa milioni 50 hivi,
- Tafuta mpiga picha wako wa social media
- Jenga connection zako mwenyewe ziwe za radio, wanasiasa, n.k.
- Anza kujivalisha nguo kali kwa pesa zako.
- Kodisha mwenyewe ndege za kusafiri.
- Andaa mwenyewe matamasha yako.
- Ukizinguana na media kubwa, anzisha radio yako