Kabla ya kuitwa Tanganyika, Tanzania iliitwaje?

Kabla ya kuitwa Tanganyika, Tanzania iliitwaje?

Shadow7

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
24,606
Reaction score
39,289
Habari wana historia wa JF na wadau mbalimbali,

Binafsi nimekua nikiwaza sana ni kwanini walichagua jina la Tanganyika wakati kulikua na ziwa Victoria ambalo ni kubwa kuliko ziwa Tanganyika lakini pia kulikua na mlima Kilimanjaro ulio mrefu zaidi barani Afrika. Licha ya hivo kulikua na mbuga za wanyama kubwa zaidi Africa mfano Serengeti.

Natumai nitapata majibu.
 
IMG_8597.JPG
 
..iliitwa Deutsch-Ostafrika, au German East Africa.

German East Africa was a German colony in the African Great Lakes region, which included present-day Burundi, Rwanda, the Tanzania mainland, and the Kionga Triangle, a small region later incorporated into Mozambique. Wikipedia
 
👏👏👏👏👏👏👏👏👏
 
Kabla ya kuja wakoloni ukanda wa Afrika Mashariki uliitwa AZANIA.
 
HATA NYERERE ALIWAHI KUSEMA KUWA HAJUI JINA 'Tanganyika' LILITOKA WAPI
Kabisa mkuu,, nyerere mwenyew alisema ivyo.

Lakin kuna makala nilitazama ilieleza kwamba TANGANYIKA imetokana na samaki wa aina mbili yaan NTANGA ni samaki yupo kama perege mjanjajanja na NYIKA imetokana na Samaki mwenye umeme yaan Electric eel. Hao wote wanapatikana Kigoma.
 
Hii historia ni uwongo wa kubuni tu. Jina Tanganyika halina uhusiano kabisa na maneno ya Tanga na Nyika, bali ni neno la kimanyema linalotokea huko Kigoma, Ujiji likiwa na maana inayokaribiana na ama "..wanaotoka Magharibi" au "...wanaochangangika." Ziwa Tanganyika lilipewa jina hilo zamani sana hata kabla ya nchi hii kukwa maana hiyo kuwa watu wa kutoka Kongo walikuwa wakiiangia Ujiji kutokea magharabi kwa kutumia ziwa hilo na kuchanganyika na watu wa ujiji.

Angalia ramani ya sehemu hiyo zamani sana kabla hakujawa nc nchi inyoitwa Tanganyika."
1612046513971.png
 
Back
Top Bottom