Shambaboy jogoli
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 1,223
- 1,627
H
Hilo ziwa Victoria ni jina la mabeberu, kibantu tuita ziwa Nyanza! Kwa hiyo ulitaka Tanganyika iitwe Nyanza?Habari wana historia wa JF na wadau mbalimbali,
Binafsi nimekua nikiwaza sana ni kwanini walichagua jina la Tanganyika wakati kulikua na ziwa Victoria ambalo ni kubwa kuliko ziwa Tanganyika lakini pia kulikua na mlima Kilimanjaro ulio mrefu zaidi barani Afrika. Licha ya hivo kulikua na mbuga za wanyama kubwa zaidi Africa mfano Serengeti.
Natumai nitapata majibu.