Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
- Thread starter
- #61
👏👏👏👏👏👏👏Hii historia ni uwongo wa kubuni tu. Jina Tanganyika halina uhusiano kabisa na maneno ya Tanga na Nyika, bali ni neno la kimanyema linalotokea huko Kigoma, Ujiji likiwa na maana inayokaribiana na ama "..wanaotoka Magharibi" au "...wanaochangangika." Ziwa Tanganyika lilipewa jina hilo zamani sana hata kabla ya nchi hii kukwa maana hiyo kuwa watu wa kutoka Kongo walikuwa wakiiangia Ujiji kutokea magharabi kwa kutumia ziwa hilo na kuchanganyika na watu wa ujiji.
Angalia ramani ya sehemu hiyo zamani sana kabla hakujawa nc nchi inyoitwa Tanganyika."
View attachment 1690316
Safi sana lakini rejea vyanzo mbalimbali mkuu