πππππππππ..iliitwa Deutsch-Ostafrika, au German East Africa.
German East Africa was a German colony in the African Great Lakes region, which included present-day Burundi, Rwanda, the Tanzania mainland, and the Kionga Triangle, a small region later incorporated into Mozambique. Wikipedia
Kabla ya kuja wakoloni ukanda wa Afrika Mashariki uliitwa AZANIA...iliitwa Deutsch-Ostafrika, au German East Africa.
German East Africa was a German colony in the African Great Lakes region, which included present-day Burundi, Rwanda, the Tanzania mainland, and the Kionga Triangle, a small region later incorporated into Mozambique. Wikipedia
Kabisa mkuu,, nyerere mwenyew alisema ivyo.HATA NYERERE ALIWAHI KUSEMA KUWA HAJUI JINA 'Tanganyika' LILITOKA WAPI
Hii historia ni uwongo wa kubuni tu. Jina Tanganyika halina uhusiano kabisa na maneno ya Tanga na Nyika, bali ni neno la kimanyema linalotokea huko Kigoma, Ujiji likiwa na maana inayokaribiana na ama "..wanaotoka Magharibi" au "...wanaochangangika." Ziwa Tanganyika lilipewa jina hilo zamani sana hata kabla ya nchi hii kukwa maana hiyo kuwa watu wa kutoka Kongo walikuwa wakiiangia Ujiji kutokea magharabi kwa kutumia ziwa hilo na kuchanganyika na watu wa ujiji.
Ndio. Iliitwa Mrima.Iliitwa Mriama,
Ukitoka Zanzibar , ukaja bara unaambiwa unakwenda Mrima