Baada ya muungano,mzee hakuipenda tanganyikaHATA NYERERE ALIWAHI KUSEMA KUWA HAJUI JINA 'Tanganyika' LILITOKA WAPI
wanaosema ni German East Africa sio kweli, kwenye kitabu cha Stanley cha kwanza " Finding Dr Livingstone " kilichochapishwa mwaka 1873 ( kabla ya wajeremani kuja) jina Tanganyika lilikuwapo tayari, lilikua na maana ya kutanga nyikani. Ukitaka kujua eneo hili lilikua linaitwaje inatakiwa usome memoirs za explorers na missionaries waliokuja kabla ya ukoloni.Habari wana historia wa Jf na wadau mbalimbali,
Binafsi nimekua nikiwaza sana ni kwanini walichagua jina la Tanganyika wakati kulikua na ziwa Victoria ambalo ni kubwa kuliko ziwa Tanganyika lakini pia kulikua na mlima Kilimanjaro ulio mrefu zaidi barani Afrika. Licha ya hivo kulikua na mbuga za wanyama kubwa zaidi Africa mfano Serengeti.
Natumai nitapata majibu.
TanzagizaHabari wana historia wa Jf na wadau mbalimbali,
Binafsi nimekua nikiwaza sana ni kwanini walichagua jina la Tanganyika wakati kulikua na ziwa Victoria ambalo ni kubwa kuliko ziwa Tanganyika lakini pia kulikua na mlima Kilimanjaro ulio mrefu zaidi barani Afrika. Licha ya hivo kulikua na mbuga za wanyama kubwa zaidi Africa mfano Serengeti.
Natumai nitapata majibu.
kabla ya wezi kuja africa(mabeberu)hapakuwa na nchi,inayoitwa Tanganyika au tanzania.kulikuwa na vipande vya maeneo vilivyokuwa na utawala unaojitegemea.Azania
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Dogo acha kunyonga mdomo basi.! Unataka majibu au kubinuliwa mdomo ??
Hmana kitu kama hicho. Tanganyika inatokanana Tanga na NyikaKabisa mkuu,, nyerere mwenyew alisema ivyo.
Lakin kuna makala nilitazama ilieleza kwamba TANGANYIKA imetokana na samaki wa aina mbili yaan NTANGA ni samaki yupo kama perege mjanjajanja na NYIKA imetokana na Samaki mwenye umeme yaan Electric eel. Hao wote wanapatikana Kigoma.
ndio maana namkubali jpm anavyowakazia japo chmoto tunaipata,lakini ni bola ule mlo mmoja kulinda heshima yako bana.kuliko kuzalauliwa na kupelekeshwa ndani ya mji wako mwenyewe.congolee kwa legendary Mugabe,gadafi,mwal jk.na ma legendary wote africa walio wakazia hawa swine.wameifilisi Sana tz yetu.na Africa kiujumla.congolee kwa mawazo ya malegendary mzee wa kifimbo jk,gadafi,waliokuwa wameazimia kuifanya Africa iwe dola moja yaani UNITED STATES OF AFRICA,bila kumsahau kwame nkurumaIla wazungu achana nawo kabisa, walikuja, wakajifanya marafiki na zawadi, wakaingiza dini na mungu wao, kabla hatujatulia wakakamata ardhi, wakaiba, wakatutumisha, wakabaka bibi zetu, wakaua watu kama wakatavyo, wakachota maliasili na rasilimali wakimpelekea mfalme na malkia wao, kama vyao vile, tunataka kujiongoza wakaleta za kuleta, mpaka leo tunaipata fresh, halafu kuna mijitu mijinga inawaona hi mizungu eti ina maana??!!
Mashetani kabisa...
ndio maana namkubali jpm anavyowakazia japo chmoto tunaipata,lakini ni bola ule mlo mmoja kulinda heshima yako bana.kuliko kuzalauliwa na kupelekeshwa ndani ya mji wako mwenyewe.congolee kwa legendary Mugabe,gadafi,mwal jk.na ma legendary wote africa walio wakazia hawa swine.wameifilisi Sana tz yetu.na Africa kiujumla.congolee kwa mawazo ya malegendary mzee wa kifimbo jk,gadafi,waliokuwa wameazimia kuifanya Africa iwe dola moja yaani UNITED STATES OF AFRICA,bila kumsahau kwame nkuruma
Kama sio hao Wazungu Wala kusingekuwepo na nchi inayoitwa Tanganyika Wala Tanzania, Wala Nyerere asingekuwa hata kiongozi, Wala huyu Magufuli asingekuwa anafahamikaIla wazungu achana nawo kabisa, walikuja, wakajifanya marafiki na zawadi, wakaingiza dini na mungu wao, kabla hatujatulia wakakamata ardhi, wakaiba, wakatutumisha, wakabaka bibi zetu, wakaua watu kama wakatavyo, wakachota maliasili na rasilimali wakimpelekea mfalme na malkia wao, kama vyao vile, tunataka kujiongoza wakaleta za kuleta, mpaka leo tunaipata fresh, halafu kuna mijitu mijinga inawaona hi mizungu eti ina maana??!!
Mashetani kabisa...
Hakuna positive effect yoyote tuliyo pata kwa uvamiz wa wazungu.kama ni kuunda utaifa tungeuunda tu ulikuwa ni insue ya time,hicho kitu kingetokea tu naturally hata pasipo uvamiz wa wazungu.mfano Kuna nchi hazikitawaliwa kabisa since then lakini leo zina dola moja na taifa moja,japo before zilikuwa na utawala wa makabila.dont be blind u African by cheap logic frm ths frauds white people.get sense u people.Kama sio hao Wazungu Wala kusingekuwepo na nchi inayoitwa Tanganyika Wala Tanzania, Wala Nyerere asingekuwa hata kiongozi, Wala huyu Magufuli asingekuwa anafahamika
Kama sio Wazungu kuja either ni Waarabu waliokuwepo Pwani wangejipanua na kuitwala bara na Tanzania ingekuwa nchi ya Kiislam,
Au Kama Waarabu wasingejitanua bara, basi kungekua na makabila, kila kabila na kiongozi wake na mpango wake na wala Kiswahili kisingekuwepo
Kama unaijua historian vizuri hebu ni challenge kwa fact, mihemko weka pembeni
German East Africa colony together with Rwanda Burundi
I stand to be corrected enwei... PamojaIlikuwa inaitwa Ruanda Urundi
Hakuna positive effect yoyote tuliyo pata kwa uvamiz wa wazungu.kama ni kuunda utaifa tungeuunda tu ulikuwa ni insue ya time,hicho kitu kingetokea tu naturally hata pasipo uvamiz wa wazungu.mfano Kuna nchi hazikitawaliwa kabisa since then lakini leo zina dola moja na taifa moja,japo before zilikuwa na utawala wa makabila.dont be blind u African by cheap logic frm ths frauds white people.get sense u people.
wachache sanaa wanajua hiiAzania
I stand to be corrected enwei... Pamoja
nakuja na jibu sahhHebu tupe mfano wa nchi wa aina unazozungumzia hapa nasi tuelimike
Safi sana Boss [emoji109][emoji120][emoji120]..iliitwa Deutsch-Ostafrika, au German East Africa.
German East Africa was a German colony in the African Great Lakes region, which included present-day Burundi, Rwanda, the Tanzania mainland, and the Kionga Triangle, a small region later incorporated into Mozambique. Wikipedia
Samahani mzee, hakika Azania si jina la eneo la Tanzania. Inawezekana sehemu za pwani za Tanzania ya leo zilihesabiwa kuwa sehemu ya Azania, lakini haina uhakika sana. Hakika ni maeneo makubwa ya tanzania hayakuwa "Azania".Kabla ya kuja wakoloni ukanda wa Afrika Mashariki uliitwa AZANIA.
Azania – Land Of The Black People
George Wauchope Azania Land of the Black People There often exists an undeclared state of war among people involved in the struggle for liberation as between those who support and those who are ag…azanianrevolution.wordpress.com