Kabla ya kuitwa Tanganyika, Tanzania iliitwaje?

πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Safi sana lakini rejea vyanzo mbalimbali mkuu
 
Jina la Tanganyika likianzishwa 1919 baada ya League of Nation kuanzishwa kudhibiti matokeo ya First World War

Waingereza walibadilisha toka jina la kabla ikiitwa Azania

Hii ni history na kwa kuwa hakuna aliethibitisha kwa uhalisi basi na ukweli nilioeleza una base kwny ukweli wa chanzo cha habari husika
HATA NYERERE ALIWAHI KUSEMA KUWA HAJUI JINA 'Tanganyika' LILITOKA WAPI
 
Mrima
 
Correction;
First world war ilianza 1914 mpaka 1918
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Safi sana lakini rejea vyanzo mbalimbali mkuu
Takriban miaka kumi iliyopita niliweka hapa historia hiyo kutoka Royal Historical Society kulingana na records za Dr Livingstone na Henry Morton Stanley. Nikiipata tena nitaileta.
 
Takriban miaka kumi iliyopita niliweka hapa historia hiyo kutoka Royal Historical Society kulingana na records za Dr Livingstone na Henry Morton Stanley. Nikiipata tena nitaileta.
Sawa mkuu
 
Wewe mwaga madini yako, siyo lazima mtu aku challenge ndugu, hatuko kushindana hapa...
 
Aisee! Hili ndilo jibu la uhakika kabisa 100% ila wengi hawalifahamu. Fact kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…