Kabla ya kuitwa Tanganyika, Tanzania iliitwaje?

H Hilo ziwa Victoria ni jina la mabeberu, kibantu tuita ziwa Nyanza! Kwa hiyo ulitaka Tanganyika iitwe Nyanza?
 
Ndiyo Mr jebs2002 . Wazungu si wazuri lakini wa Africa ni wabaya zaidi. Na wasiposimamiwa ni wabaya na wanyama kuliko wazungu. Na ukweli upo wamegeuka kuwa ma dictator wabaya zaidi ulimwenguni.
 
Nishasoma vyanzo vingi,na hiki nilikielewa zaidi. Unajua unaposoma chanzo lazima ujue na falsafa ya mwandishi juu ya hicho anachokiandika.
Nikweli lakini inabidi tufatilie vyanzo๐Ÿ“—๐Ÿ“•๐Ÿ“˜๐Ÿ“š mbalimbali
 
Kwasasa Nchi ina Changamoto ya upungufu wa Madarasa, upatikanaji wa maji upungufu wa Matundu ya vyoo na Changamoto hii ni yamiaka ming sanaa miaka60 ya Uhuru bado tunaongelea hizo changamoto Halafu Anatokea Mjinga Mmoja Anasema eti Rais aongezewe muda hata kama hatak Alazimishwe!
 
Tatizo letu hasa wa Tanganyika ni kutoikubali jina letu halisi "Tanganyika". Tunapeรฑda na kujitambulisha kama waTz na kuliona jina Tanganyika kama lilikosewa ilhali siyo. Kuna nchi ziliitwa kutokana na KABILA moja kuwa kubwa. Na zikatambulika kwa majina ya makabila hayo eg. Uganda , Malawi kabla haijabadilishwa, Sudan , Botswana, Somalia, Lesotho nk.
Pia kuna nchi zilitambulika kwa maliasili zilizokuepo kipindi hicho eg Milima, Maziwa, Pwani na hizo ni kama Ivory coast, Tanganyika, Kenya, Niger etc.

So Tanganyika kwa kukosa kuwa na kabila kubwa iliyameza makabila mengine, tuliitwa kwa rasilimali iliyokuepo ambayo ni ziwa letu pendwa ndefu na yenye kina kirefu . Lakini bahati mbaya uongozi wetu wa mwanzo uliwa brain wash wananchi na kutokulithamini jina letu la asili.
 
Uko sahihi kabisa mkuu
 
Mrima si nchi bali neno lingine la kumaanisha bara (naweza kusahihishwa)
Hasa hasa Mrima ilimaanisha maeneo ya Bara ya ufukwe wa pwani yanayotazamana na Zanzibar!! Lindi hadi Tanga huko juu pwani ya Mombasa hadi somalia palijulikana kama Benadir.
Point yangu ni kuwa mrima ilimaanisha maeneo ya Bara hasa yanayotazamana na zanzibar yaan yaliyopo ufukweni ,lakini haikumaanisha wala kuyaunganisha maeneo ya interior
 
๐Ÿ‘ ๐Ÿ‘ ๐Ÿ‘ ๐Ÿ‘ ๐Ÿ‘ ๐Ÿ‘
 
ni kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ