Kabla ya kumlaumu refa kuongeza DK 15, je, wewe ulihesabu DK Ambazo mchezo ulisimama?

Tsyamatsy

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2023
Posts
310
Reaction score
459
Si mama kwenye ukweli pasipo na ushabiki, wewe unaepinga Jana refa kuongeza DK 15, tueleze wewe ulizihesabu NI DK ngapi zilipotezwa na pia lile tukio la ubishi WA kado nyekundu Kwa kipa ndio lililozaa upotevu mkubwa WA muda Liliana DK ya ngapi na liliishia DK ya ngapi?
 
Kwani nani kawabishia, nyie ongezeni hata dakika 100 ila ubingwa msahau
 
Si mama kwenye ukweli pasipo na ushabiki, wewe unaepinga Jana refa kuongeza DK 15, tueleze wewe ulizihesabu NI DK ngapi zilipotezwa na pia lile tukio la ubishi WA kado nyekundu Kwa kipa ndio lililozaa upotevu mkubwa WA muda Liliana DK ya ngapi na liliishia DK ya ngapi?
Kabla ya kuongeza dakika za kipindi cha pili, zile za kipindi cha kwanza unazizungumziaje?
 
Dakika 15 nyongeza ni kawaida hata huko mambelez you know. Ona hapo zimeongezwa 14.
Screenshot_20250502-232054_MelBet.jpg
 
Back
Top Bottom