Ubingwa utakao chukua ni wa muungano na umemalizaKwani nani kawabishia, nyie ongezeni hata dakika 100 ila ubingwa msahau
Mijinga sana....hawaoni wale kina offen chikola anawatunguaga Yanga atakavyo..nasikia wanataka kumsajili ila hawa wanaojifanya kukamia na kuleta ujinga kisa hela wataishia huko hukoMchezo wa ligi watu wanapoteza muda badala waoneshe viwango vyao wapate sajiri kwenye matimu makubwa,ujinga
Kabla ya kuongeza dakika za kipindi cha pili, zile za kipindi cha kwanza unazizungumziaje?Si mama kwenye ukweli pasipo na ushabiki, wewe unaepinga Jana refa kuongeza DK 15, tueleze wewe ulizihesabu NI DK ngapi zilipotezwa na pia lile tukio la ubishi WA kado nyekundu Kwa kipa ndio lililozaa upotevu mkubwa WA muda Liliana DK ya ngapi na liliishia DK ya ngapi?