Kabla ya kumwacha demu mpenda pesa namuuliza maswali haya

Kabla ya kumwacha demu mpenda pesa namuuliza maswali haya

Jf bwana[emoji1].

Mtu anakuelezea aina ya mwanamke aliyenae yeye halafu wewe unakuja kusema hakuna mwanamke wa aina hiyo duniani, huyo mwanamke wake unamjua??

Shida nu kwamba mnadate na malaya ndomaana kila kitu mnaona hakiwezekani kwa wanawake, eti dunia nzima[emoji1].
Hizo propaganda eti dem hamuombi hela we nani usiombe hela labda mkuu yupo vijijin uyo
 
Hizo propaganda eti dem hamuombi hela we nani usiombe hela labda mkuu yupo vijijin uyo
Hahahaha wapo mkuu, miaka fulani niliwahi kudate na mwalimu mkuu wa shule moja ya msingi huko kigoma sikuwa naombwa hela kabisa na mpaka leo ni mchepuko wangu baada ta mke wangu, huyo mwanamke nikinyooka hata sasa kulia shida pesa lazima iingie, ana care ya ajabu. INGAWA MIMI PIA AIBU YA KIUME HUNIINGIA nampa pesa bila yeye kuomba.

Huyo jamaa kasema demu wake hamuombi pesa kwakua yeye ndo huwa anajiongeza kumtumia hata kabla hajamuomba.
 
Demu kajilengesha eti ananipendq nikamwambia sawa kesho yake kanitext tumechat sana siku inayofuata anataka nimtumie 40k nikatuma

Zikapita siku mbili akataka Tena 30k nikatuma dah wiki inayokuja ni sikukuu anataka nguo za sikukuu na mtoko wa maana kwenda viwanja(outing)

Nikamblock paka yule
Hata ww ni ndezi tuu kwanza alfurahi ulivyompotezea,unatumaje hela kirahisirahisi hivyo?
 
Una mblock vipi mkuu bila kumkuna hata kidogo, kibaharia hiyo ni hasara ni bora ungemblock toka day one alivyokuomba 40K, sasa 70K imeenda bure.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambie huyo halafu hata mbunye hujaonja imeshaenda 70k
 
Demu kajilengesha eti ananipendq nikamwambia sawa kesho yake kanitext tumechat sana siku inayofuata anataka nimtumie 40k nikatuma

Zikapita siku mbili akataka Tena 30k nikatuma dah wiki inayokuja ni sikukuu anataka nguo za sikukuu na mtoko wa maana kwenda viwanja(outing)

Nikamblock paka yule

Sa mbona umefanya biashara ya hasara mkuu..umemblocj akati unamdai 70k kweli!???mdanganye aingie kingi aibuke magetoni achezee mboko then ndio mblock
 
Hua nashangaa sana. Wadau wanaotumia ela kupata wanawake.

Na mara nyingi watu wa hivi wanaishia kuonekana maboya kwa hao mademu. Na mwsisho kujilaumu

Aise naweza kumpa ela mwanamke lakini asije na gia za kunidangia nikihisi something fishy hapati hata mia mbovu.
 
Unatumia Nguvu nyingi sana Bro. Mi Huwa nakaa Kimya tu.
 
Demu kajilengesha eti ananipendq nikamwambia sawa kesho yake kanitext tumechat sana siku inayofuata anataka nimtumie 40k nikatuma

Zikapita siku mbili akataka Tena 30k nikatuma dah wiki inayokuja ni sikukuu anataka nguo za sikukuu na mtoko wa maana kwenda viwanja(outing)

Nikamblock paka yule
Tayari kakupiga 70,000 kwa ufara wako
 
Ilinikuta wiki iliyopita niko hospital kufanyiwa operesheni sehemu ya ubavuni halafu na demu anajua chaajabu ananiambia nimtumie kiasi cha hela yuko kwa wakala anataka kutoa kiasi fulani akanunue vitu vyake vya kutumia...nikasema yale yale unatoka jela baby anakuuliza unanipa zawadi gani

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Unaishi na Malaya shtuka babu
 
Huu uzi nimejifunza kitu

Kwamba kabla ya huu uzi hukuwahi kujifunza kuwa kuhonga ni njia moja ya kudumisha umaskini? Sema nini kuhonga mpaka Bakhresa anahonga[emoji23][emoji23]

You’ll never walk alone men, kifupi huwez tumia ela zako we mwenyewe lazima awepo mtu wa kula nae[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom