Kabla ya kumwacha demu mpenda pesa namuuliza maswali haya

Hizo propaganda eti dem hamuombi hela we nani usiombe hela labda mkuu yupo vijijin uyo
 
Hizo propaganda eti dem hamuombi hela we nani usiombe hela labda mkuu yupo vijijin uyo
Hahahaha wapo mkuu, miaka fulani niliwahi kudate na mwalimu mkuu wa shule moja ya msingi huko kigoma sikuwa naombwa hela kabisa na mpaka leo ni mchepuko wangu baada ta mke wangu, huyo mwanamke nikinyooka hata sasa kulia shida pesa lazima iingie, ana care ya ajabu. INGAWA MIMI PIA AIBU YA KIUME HUNIINGIA nampa pesa bila yeye kuomba.

Huyo jamaa kasema demu wake hamuombi pesa kwakua yeye ndo huwa anajiongeza kumtumia hata kabla hajamuomba.
 
Hata ww ni ndezi tuu kwanza alfurahi ulivyompotezea,unatumaje hela kirahisirahisi hivyo?
 
Una mblock vipi mkuu bila kumkuna hata kidogo, kibaharia hiyo ni hasara ni bora ungemblock toka day one alivyokuomba 40K, sasa 70K imeenda bure.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambie huyo halafu hata mbunye hujaonja imeshaenda 70k
 

Sa mbona umefanya biashara ya hasara mkuu..umemblocj akati unamdai 70k kweli!???mdanganye aingie kingi aibuke magetoni achezee mboko then ndio mblock
 
Hua nashangaa sana. Wadau wanaotumia ela kupata wanawake.

Na mara nyingi watu wa hivi wanaishia kuonekana maboya kwa hao mademu. Na mwsisho kujilaumu

Aise naweza kumpa ela mwanamke lakini asije na gia za kunidangia nikihisi something fishy hapati hata mia mbovu.
 
Unatumia Nguvu nyingi sana Bro. Mi Huwa nakaa Kimya tu.
 
Tayari kakupiga 70,000 kwa ufara wako
 
Unaishi na Malaya shtuka babu
 
Huu uzi nimejifunza kitu

Kwamba kabla ya huu uzi hukuwahi kujifunza kuwa kuhonga ni njia moja ya kudumisha umaskini? Sema nini kuhonga mpaka Bakhresa anahonga[emoji23][emoji23]

You’ll never walk alone men, kifupi huwez tumia ela zako we mwenyewe lazima awepo mtu wa kula nae[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…