Kabla ya kupigana mabusu, muangaliane usafi wa meno

Haya mambo ya madenda haya Huwa tunabeba mengi san Kuna siku nilijikuta mpka na kipunje Cha wali mdomon, na cjala wali cku hyoπŸ€’
Bora wewe Mimi Kuna siku nilikata denda kumbe mwenzangu anatafuna vipipi mdomoniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, afu akanichomekeaπŸ–οΈπŸ–οΈ nikajikuta nimekula vipipi vya wanawakeπŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Kwani ukinyonya mwenye meno yameoza na yako yanaoza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…