ubora wa kitu hupimwa kwa matokeo kwa hiyo kama kuna ubora inatakiwa uonekane tunapoenda kupata huduma kwenye mashirika ya serikali lakini performance ya shirika sokoni. Huo ndio ubora
Sikatai kipindi hasa cha Magufuli, kulikuwa na fairness kubwa kwenye amira haswa kupitia utumishi na ni kweli vijana wengi ambao walikuwa book smart waliajiriwa sana bila kuwa na back up
Ila hapa tuzungumzie mchakato wa kupata vijana ambao wapo competent na result oriented kwenye soko, ukiangalia mfumo wa utumishi, unadhani unaegemea katika hivi vitu viwili na kama sio, unategemea wataweza kupambana na vodacom au tigo ambao wanachuja watu wao wakiegemea hapo