Kabla ya kuvuja TTCL, Serikali ifanye haya kwanza...

Ajira zipi zilifanyika wakati wa Magufuli? Mbona miaka yake yote hakuajiri?? Ajira zimeanza mwaka jana baada ya Samia kuajiri sekta ya elimu na afya
Kwa hiyo wakati wa magufuli ajira portal ilikufa na sekretarieti ya ajira walikuwa wanalipwa kwa kupiga soga ofisini mkuu

Na nitashangaa kama kuna mtu anaamini kipindi cha magufuli hakutoa hata ajira moja, yatakuwa ni maajabu ya kuingizwa kwenye Guiness book of records
 
TTCL haipewi ruzuku ndugu. Inajiendesha kutokana na mapato yake.
Si kweli...mapato yapi yanatoka wapi kwa faida ipi wakati yanajiendesha kwa hasara
WATUMISHI WOTE WANALIPWA NA SERIKALI inajiendesha kivipi
 
Kwa hiyo wakati wa magufuli ajira portal ilikufa na sekretarieti ya ajira walikuwa wanalipwa kwa kupiga soga ofisini mkuu

Na nitashangaa kama kuna mtu anaamini kipindi cha magufuli hakutoa hata ajira moja, yatakuwa ni maajabu ya kuingizwa kwenye Guiness book of records
Very selective, siyo massive kama za wakati wa Samia. Yeye kila kitu alikuwa anasema atafanya mwaka wake wa mwisho wa utawala including increment.

Huwezi compare wale walikuwa wanaitwa interview wakati wa Magu na kazi za mwaka jana za TAMISEMI ambazo vijana walijaza na wakaitwa bila hata interview
 
Brother nashukuru umekubali ajira alitoa na hujakataa kuwa wakati wake ajira za kujuana zilipungua serikalini via utumishi.. Hiyo ndio ilikuwa centre ya discussion yaani system ya kuajiri na sio kiwango cha ajira 🙏🏽🙏🏽
 
Ajira za kujuana zilipungua? You are joking youngman. Hebu niambia criteria aliyoitumia kumtoa Dotto James TANROADS alikokuwa junior officer na kumfanya Katibu Mkuu -Hazina (Paymaster General)
 
Nimependa ulivyoniita youngman, hili jina huwa naitwa na senior citizens kwa mtaa na hata mihangaikoni 😁

Brother nilisema zilipungua na sio ziliisha. Binafsi yangu nina watu baadhi naowajua walipata kazi bila back up yoyote na hata nilipohudhuria interview one time japo niliona mapungufu lakini kulikuwa strict sana na fairness ilikuwepo
 
Kabla ya kuvunja TTCL serikali ingefanya haya kwanza.

Kuhakikisha zoezi la kampuni zote za simu zinauza hisa Kwa wananchi kama ambavyo sheria inataka na iwapo wananchi wakishindwa kununua hisa hizo basi serikali inunue hisa hizo Kwa niaba ya wananchi...kama ambavyo serikali ina hisa NMB, puma n.k.

Kuiondoa TTCL Kwa sababu haileti faida na kuacha industry yote imilikiwe na watu wachache ni hatari sana...

Serikali ifanye tathmini ya kutosha..
Huyu mama asipokemewa atatuletea ya mkapa. Miundombinu yote tuliyowekeza kwa karne wanataka wakabidhiwe watu bure bure ukifuatilia utakuta ni pressure ya mabeberu . Sema tu huyu maza ni u capitalist ndo unamsumbua
 
Au hiyo hiyo TTCL iwauzie wenye uwezo wao na serikali ibakie na hisa zake kadhaa...
Tuliwahi kuwapa Network Group Solution waendeshe Tanesco wakati wa Rais Mkapa. Serikali ililazimika kukodi management company ili Tanesco isiendelee kupata hasara.

Kuliko kuliua shirika, wazo lako zuri; tutafute maguru waendeshe shirika kama ilivyokuwa NMB. Serikali ibakie na hisa zake na wajuvi wapige shoo kuliendesha, tutalikwamua lisizame.
 
Kabla ya kuvunja TTCL serikali ingefanya haya kwanza.

Kuhakikisha zoezi la kampuni zote za simu zinauza hisa Kwa wananchi kama ambavyo sheria inataka na iwapo wananchi wakishindwa kununua hisa hizo basi serikali inunue hisa hizo Kwa niaba ya wananchi...kama ambavyo serikali ina hisa NMB, puma n.k.

Kuiondoa TTCL Kwa sababu haileti faida na kuacha industry yote imilikiwe na watu wachache ni hatari sana...

Serikali ifanye tathmini ya kutosha..
Wazo zuri sana hili, ila sijui kama Rostam Azizi atakubaliana nalo.
 
Kama private sector wameweza wao wameshindwa vipi na binadamu ni walewale ..hizo inshu za kusema serikali haiwezi fanya biashara huwa naona ni siasa tu .

Kama wameshindwa kabisa inatakiwa waajiri watu kwa mikataba ili watu waheshimu kazi ..vilevile wakuu wa hizo taasisi wasiteuliwe bali ipigwe interview kupata watu vichwa.
 
Back
Top Bottom