Kabla ya kuvuja TTCL, Serikali ifanye haya kwanza...

Huko sahihi sana. Watu wasiojua historia ya ili shirika wataponda blindly lakin ukweli TTCL imefikia hapo sababu ya hujuma za watu binafsi na serikali. Unaweza kuamini nikikwambia kuwa TTCL inaendesha mkongo wa taifa lakini mapato ya mkongo yanaenda serikalini/wizarani. Gharama za kumaintain mkongo wa taifa zinatokana na mapato ya ndani ya shirika lkn wateja wa mkongo kama Voda, airtel na wote unaowajua wanalipa hela wizarani. Hii ndio inayoimaliza TTCL
TTCL inahujumiwa sana...
 
Milolongo na ujamaa syndrome.. Nimekusoma mkuu
 
Kamwe serikali haiwezi shindana na Mobile Network Operators. Hawa watu wanatunga sheria wao, kwa kificho sana. Waliambiwa wawe public, hapo hapo kwa kujua Mobile Transactions ndio ela ilipo kwa sasa, sheria ikaibuka toka BOT, Mobile Money ikapewa license yake, ikiitaka iwe kampuni tofauti na Network Operator.

Leo hii watu wamenunua hisa Vodacom, ila mapato yao Mpesa haipo.
 
Naweza kuwa nafikiria vibaya ila naamini kama wewe. TTCL inahitaji damu changa yenye ubunifu unaoendana na mabadiliko na mahitaji ya sasa
Huo ni Ukweli tu Bro!
Serkali Ifanye Hivyo!
 


Hivi Kuna mpango wa kuifuta au kuiuza TTCL??
 
Ttcl inaumizwa na madeni, Mikataba ya kimayere

Yule waziri alikuwa ni wakuwekwa ndani

900mil kwa mwezi kwenda tigo

Shirika litaendeleaje?....

Umayere unagharimu Shirika
 
Mkuu hapo kwenye uzalendo umechemka
Bila Uzalendo ni bure tu!
Uanze kufundishwa kuanzia kwenye Familia zetu!
MWIKO WOWOTE UWE MWIKO KUANZIA FAMILIA HADI TAIFA...
 
Bado Wizara ndiyo mmiliki wa mkongo,TTCL bado hajakabidhiwa, ila mchakato waendelea
 
Umetumia akili sana.

Mtaani huku kuna vichwa.. ila SAHILI za hawa watu PSRS ni upuuzi uliotukukuka na hapo ni TTCL kuna sekta sensitive kama majeshi yetu ni majanga majanga bahati nzuri hatuna VITA.. otherwise...
 
Voda, Tigo, Halotel, Zantel,Airtel hayo mashirika yote hayawezi kukubali kuona TTCL inachukua hatamu, they will loose business...

Wakikutana na watendaji wasiyokua waaminifu kutoka serikalini basi shirika linahujumiwa na kujifia...
Serikali ina kila kitu, watu, pesa, miuondombinu, kwa nini shirika life...
 
Umetumia akili sana.

Mtaani huku kuna vichwa.. ila SAHILI za hawa watu PSRS ni upuuzi uliotukukuka na hapo ni TTCL kuna sekta sensitive kama majeshi yetu ni majanga majanga bahati nzuri hatuna VITA.. otherwise...
Kiufupi tu mifumo ya kuajiri serikalini bado ina walakini, mfano na waalimu wote waliopo mitaani Ila bado wanachaguliwa randomly

Yaani mtu wa customer care kwenye private sector anapitia msoto kupata kazi kuliko waalimu wanaoandaa future za watoto serikalini
 
Nikajua ulishaacha ushoga....
Siwezi kuacha kuwapelekea moto machoko πŸ˜€ vipi nawewe unataka? Maana mgeni kashaleta container la vilainishi kazi iendelee.
 
Ushauri mzuri sana.
 
Sikatai kipindi hasa cha Magufuli, kulikuwa na fairness kubwa kwenye amira haswa kupitia utumishi na ni kweli vijana wengi ambao walikuwa book smart waliajiriwa sana bila kuwa na back up
Ajira zipi zilifanyika wakati wa Magufuli? Mbona miaka yake yote hakuajiri?? Ajira zimeanza mwaka jana baada ya Samia kuajiri sekta ya elimu na afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…