Kwa hiyo wakati wa magufuli ajira portal ilikufa na sekretarieti ya ajira walikuwa wanalipwa kwa kupiga soga ofisini mkuuAjira zipi zilifanyika wakati wa Magufuli? Mbona miaka yake yote hakuajiri?? Ajira zimeanza mwaka jana baada ya Samia kuajiri sekta ya elimu na afya
Si kweli...mapato yapi yanatoka wapi kwa faida ipi wakati yanajiendesha kwa hasaraTTCL haipewi ruzuku ndugu. Inajiendesha kutokana na mapato yake.
Very selective, siyo massive kama za wakati wa Samia. Yeye kila kitu alikuwa anasema atafanya mwaka wake wa mwisho wa utawala including increment.Kwa hiyo wakati wa magufuli ajira portal ilikufa na sekretarieti ya ajira walikuwa wanalipwa kwa kupiga soga ofisini mkuu
Na nitashangaa kama kuna mtu anaamini kipindi cha magufuli hakutoa hata ajira moja, yatakuwa ni maajabu ya kuingizwa kwenye Guiness book of records
Very selective, siyo massive kama za wakati wa Samia. Yeye kila kitu alikuwa anasema atafanya mwaka wake wa mwisho wa utawala including increment.
Huwezi compare wale walikuwa wanaitwa interview wakati wa Magu na kazi za mwaka jana za TAMISEMI ambazo vijana walijaza na wakaitwa bila hata interview
Ajira za kujuana zilipungua? You are joking youngman. Hebu niambia criteria aliyoitumia kumtoa Dotto James TANROADS alikokuwa junior officer na kumfanya Katibu Mkuu -Hazina (Paymaster General)Brother nashukuru umekubali ajira alitoa na hujakataa kuwa wakati wake ajira za kujuana zilipungua serikalini via utumishi.. Hiyo ndio ilikuwa centre ya discussion yaani system ya kuajiri na sio kiwango cha ajira ππ½ππ½
Nimependa ulivyoniita youngman, hili jina huwa naitwa na senior citizens kwa mtaa na hata mihangaikoni πAjira za kujuana zilipungua? You are joking youngman. Hebu niambia criteria aliyoitumia kumtoa Dotto James TANROADS alikokuwa junior officer na kumfanya Katibu Mkuu -Hazina (Paymaster General)
Huyu mama asipokemewa atatuletea ya mkapa. Miundombinu yote tuliyowekeza kwa karne wanataka wakabidhiwe watu bure bure ukifuatilia utakuta ni pressure ya mabeberu . Sema tu huyu maza ni u capitalist ndo unamsumbuaKabla ya kuvunja TTCL serikali ingefanya haya kwanza.
Kuhakikisha zoezi la kampuni zote za simu zinauza hisa Kwa wananchi kama ambavyo sheria inataka na iwapo wananchi wakishindwa kununua hisa hizo basi serikali inunue hisa hizo Kwa niaba ya wananchi...kama ambavyo serikali ina hisa NMB, puma n.k.
Kuiondoa TTCL Kwa sababu haileti faida na kuacha industry yote imilikiwe na watu wachache ni hatari sana...
Serikali ifanye tathmini ya kutosha..
Tuliwahi kuwapa Network Group Solution waendeshe Tanesco wakati wa Rais Mkapa. Serikali ililazimika kukodi management company ili Tanesco isiendelee kupata hasara.Au hiyo hiyo TTCL iwauzie wenye uwezo wao na serikali ibakie na hisa zake kadhaa...
Wazo zuri sana hili, ila sijui kama Rostam Azizi atakubaliana nalo.Kabla ya kuvunja TTCL serikali ingefanya haya kwanza.
Kuhakikisha zoezi la kampuni zote za simu zinauza hisa Kwa wananchi kama ambavyo sheria inataka na iwapo wananchi wakishindwa kununua hisa hizo basi serikali inunue hisa hizo Kwa niaba ya wananchi...kama ambavyo serikali ina hisa NMB, puma n.k.
Kuiondoa TTCL Kwa sababu haileti faida na kuacha industry yote imilikiwe na watu wachache ni hatari sana...
Serikali ifanye tathmini ya kutosha..