Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,433
- 2,791
Watanzania,
Bunge letu,
Bandari ni zaidi ya tunavyofikiria.
Usidhani kwamba ni kupokea containers za mizigo ya kawaida tu.
Yapo mambo mengi mno ya kijasusi ambayo hatujayafanyia upembuzi yakinifu.
1. Asilimia kubwa ya zana zetu za KIVITA hupitia Bandarini. Je, tukiwapa DP kutakuwa Tena na usiri wa uimara wa JESHI LETU katika SILAHA linazo miliki?
2. Mizizi ya makundi mengi ya kigaidi ipo Uarabuni. Je, hatutakaribisha watu wabaya kupitia BANDARI? Nani amezungumzia hili Bungeni?
3. JESHI LETU,mmetafakari kuhusu reconnaissance? Katika mafunzo ya kijeshi hasa katika level ya special force, Operation Thunderbolt au Yonathan hutumika Sana kama case study. Je, mnakumbuka nani aliyeuza ramani ya uwanja wa ndege kwa makomandoo wa ki-Israel?
Wanasiasa wameangalia pesa bila kuangalia hatima ya nchi huko mbeleni. Ukisikia pesa hupofusha basi ndiyo hapa. Wenzetu UAE wapo makini na wana vision kali sisi tumeangalia matumbo yetu tu fasta. Na haya ndiyo makosa ya mwafrika toka precolonial Hadi colonization.
Namsikia katibu mkuu wa chama anavyotumia nguvu kubwa kuwahadaa wananchi huko Iringa najiulliza huyu alisoma wapi. Ilikuwaje akaingia kwenye kitengo? Watanzania. Msifanye masihara na Bandari.
Siandiki Sana ila nawakumbusha Tena, Watanzania msifanye masihara na Bandari.
Jamaa siyo wajinga, wanahesabu kali mno. Hawa wanaopiga mdomo wataondoka TANZANIA itabaki. Wanasiasa huo ufanisi mnao unadi na kuingiza pesa nyingi kupitia BANDARI, wawezesheni Watanzania wanaweza. Jamaa wana hesabu kali, nimekaa pale 👉
Mwisho.mungu ibariki Tanzania 🇹🇿