Kabla ya Kuweka GPS Kwenye TV, Zingatia Hili!

Kabla ya Kuweka GPS Kwenye TV, Zingatia Hili!

delp307

Senior Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
193
Reaction score
130
Kabla ya kufunga GPS Kwenye tv zingatia haya

1/
Hapa Tanzania, wizi mwingi hutokea usiku, kupitia dirishani wakati familia imelala.
Wanaiba simu, TV, na mara nyingine wanaweza ingia hadi ndani ya chumba.

2/
Familia nyingine sasa wanaweka GPS kwenye TV wakiamini itasaidia.

Lakini ukweli ni huu:
GPS itakusaidia kufuatilia TV Yako iliyoibiwa, unaweza ukaipata tv

Wezi wanambinu mbali mbali kama wakifanikiwa kuitoa hiyo gps kamwe huwezi kupata Mali Yako yoyote iliyoibiwa.

GPS haiwezi kuzuia mwizi kuingia ndani.

Umewekeza pekee kwenye TV Yako na GPS, je vipi kuhusu simu Yako na laptop Yako au Mali zako nyingine



3/
Ukigundua TV imeibiwa:

  • Mwizi tayari ameshaondoka
  • Dirisha limevunjwa
  • Familia yako imetikiswa au hata kuumizwa
  • Kama umefunga GPS unaweza kufuatilia, Kuna mambo mawili. Unaweza kumpata TV Yako au kuikosa
4/
Wezi wa sasa ni hatari.
Wanaweza kushambulia, kuwafunga watu, au hata kujeruhi ikiwa watakutwa wakivunja.

Mali za nyumbani Yako haiwezi kuwa muhimu kuliko usalama wa familia yako.

5/
Ndiyo maana unahitaji alarm ya wireless ya kuzuia wizi.
Inagundua wizi mapema na kutoa sauti kali ya alarm kabla mwizi hajaingia.

6/
🚨 Inavyofanya kazi:

  • Sensori hugundua mtu anaposogea dirishani au mlangoni
  • Alarm inalia papo hapo
  • Unapokea taarifa kwenye simu yako
  • Mwizi anakimbia kabla hata hajaingia
7/
Utalala kwa amani ukijua familia yako iko salama.
Hakuna mwizi anayependa hatari au sauti ya alarm.
Kuzuia ni bora kuliko kufuatilia.

8/
Linda familia yako, Mali zako
Wekeza kwenye alarm ya wireless itakayokulinda wewe na wapendwa wako.

TUPIGIE TUKUSHAURI

0710141917

AINA ZA ALARM UNAZOFAA KUWEKA DIRISHANI

STAND ALONE ALARM 8000

IMG_20250215_105155_390.jpg




WIRELESS ALARM
71iYN8jsvmL._UF894,1000_QL80_.jpg
INTRUDER WIRELESS.jpg
Touch_Home_Security_Burglar_Alarm_System.jpg


WIRELESS ALARM

250,000 A ALARM
1 motion sensor
1 window sensor

325,000 B ALARM
2 motion sensor
3 window sensor

450,000 C ALARM
8 window sensor
2 motion sensor


extra sensor

30,000

COMMERCIAL INTRUDER ALARM

2,500,000

TUPIGIE TUKUSHAURI 0710141917
 
KAKA unafikiria kwa kutumia nini?umesoma maelekezo yote lakini ? Nimekuelekeza alarm ikishapiga kelele mwizi yoyote hawezi kuendelea na shughuli za kuiba, hii alam inazuia mwizi kutaka kufungua dirsha au kufungua mlango.
Umesema GPS haisaidii kuzuia wezi
Niambie alarm hio inawezaje kuzuia wizi wa panya road unaibiwa na panga mkonon
 
Naunga mkono hoja. Niliibiwa mara mbili ndani ya wiki. Nikaweka alarm madiridhani na mlangoni. Yule jamaa alikuja mara mbili tena Kila akija alarm inalia anasepa. Lakini pia alarm ikilia tunaamka inakuaje rahisi kujisaidia, maana mara zote tuliibiwa tukiwa usingizini.

Hasara ya alarm ni kwamba hata paka akipita inalia inaleta hofu. Kingine ni usumbufu.

Hao wa mabavu ni kweli wanaweza wasizuiliwe na alarm lakini case nyingi za wizi sio hizo za mabavu.
 
Onyo ACHA Kuweka GPS kwenye TV: GPS Haitakukinga Usiku ukiibiwa

1/
Hapa Tanzania, wizi mwingi hutokea usiku, kupitia dirishani wakati familia imelala.
Wanaiba simu, TV, na mara nyingine wanaweza ingia hadi ndani ya chumba.

2/
Familia nyingine sasa wanaweka GPS kwenye TV wakiamini itasaidia.
Lakini ukweli ni huu: GPS haiwezi kuzuia mwizi kuingia ndani.

3/
Ukigundua TV imeibiwa:

  • Mwizi tayari ameshaondoka
  • Dirisha limevunjwa
  • Familia yako imetikiswa au hata kuumizwa
4/
Wezi wa sasa ni hatari.
Wanaweza kushambulia, kuwafunga watu, au hata kujeruhi ikiwa watakutwa wakivunja.
TV haiwezi kuwa muhimu kuliko usalama wa familia yako.

5/
Ndiyo maana unahitaji alarm ya wireless ya kuzuia wizi.
Inagundua wizi mapema na kutoa sauti kali ya alarm kabla mwizi hajaingia.

6/
🚨 Inavyofanya kazi:

  • Sensori hugundua mtu anaposogea dirishani au mlangoni
  • Alarm inalia papo hapo
  • Unapokea taarifa kwenye simu yako
  • Mwizi anakimbia kabla hata hajaingia
7/
Utalala kwa amani ukijua familia yako iko salama.
Hakuna mwizi anayependa hatari au sauti ya alarm.
Kuzuia ni bora kuliko kufuatilia.

8/
Linda familia yako. Acha kutegemea GPS kwenye TV.
Wekeza kwenye alarm ya wireless itakayokulinda wewe na wapendwa wako.

TUPIGIE TUKUSHAURI

0710141917

AINA ZA ALARM UNAZOFAA KUWEKA DIRISHANI

STAND ALONE ALARM 8000

View attachment 3397117



WIRELESS ALARM
View attachment 3397118View attachment 3397119View attachment 3397120

WIRELESS ALARM

250,000 A ALARM
1 motion sensor
1 window sensor

325,000 B ALARM
2 motion sensor
3 window sensor

450,000 C ALARM
8 window sensor
2 motion sensor


extra sensor

30,000

COMMERCIAL INTRUDER ALARM

2,500,000

TUPIGIE TUKUSHAURI 0710141917

Hebu tueleze zaidi kidogo kuhusu Alarm inavyofanya kazi
Ina internet au inatumia internet ipi?
Je kusipokuwa na internet inafanya kazi?
 
Umesema GPS haisaidii kuzuia wezi
Niambie alarm hio inawezaje kuzuia wizi wa panya road unaibiwa na panga mkonon
Kwani Kila siku panya road ndio wanakuibia TV na mapanga. Yaani unataka kuleta ligu ambayo Haina mpango. Kama wote wanaoibiwa simu madirishani na TV kwani zinazotumika ni panga? Acha kujitoa ufahamu
 
Hebu tueleze zaidi kidogo kuhusu Alarm inavyofanya kazi
Ina internet au inatumia internet ipi?
Je kusipokuwa na internet inafanya kazi?
Alarm haitumi Internet. Unaweza kuweka laini ya simu ikawa inakutumia sms za kawaida pale ambapo Kuna tukio. Au wakati ukitaka kuiwasha na kuzima unaweza kutuma SMS
 
We jamaa nani alikwambia kuwa GPS inapambana au kumzuia mwizi asiibe?
GPS inasaidia ku track na kufahamu Mali husika ilipo na hatimaye kuikamata.

Tangazo lako halikuoaswa kudharau GPS ungefanikiwa vizuri tu.
Kaka Mimi nafunga GPS Kwenye magari, tv, pikipiki Kila sehemu. Lakini solution ya kwenye TV sio kabisa, maana mwizi anakuwa ameshaingia ndani ya nyumbani, na kama anataka kukudhhuru atakufanya chochote kile. Zama za siku hizi wezi hawaogopa GPS Wala CCTV camera. Wanakuibia kama kawaida tu
 
mwamba anatumia mbinu za kizamani sana, nenda kwa demu mkandie jamaa yake ili amuache umpate.

only idiots do that in this era
Hujawahi kuibiwa ndio maana unasema hayo. Wakishakuibia ndio utaanza kutafuta hizi alarm
 
Kwani Kila siku panya road ndio wanakuibia TV na mapanga. Yaani unataka kuleta ligu ambayo Haina mpango. Kama wote wanaoibiwa simu madirishani na TV kwani zinazotumika ni panga? Acha kujitoa ufahamu
Tangazo lako la hovyo
Au hauoni hata majibu ya wachangiaji wengine?
 
Naunga mkono hoja. Niliibiwa mara mbili ndani ya wiki. Nikaweka alarm madiridhani na mlangoni. Yule jamaa alikuja mara mbili tena Kila akija alarm inalia anasepa. Lakini pia alarm ikilia tunaamka inakuaje rahisi kujisaidia, maana mara zote tuliibiwa tukiwa usingizini.

Hasara ya alarm ni kwamba hata paka akipita inalia inaleta hofu. Kingine ni usumbufu.

Hao wa mabavu ni kweli wanaweza wasizuiliwe na alarm lakini case nyingi za wizi sio hizo za mabavu.
Asante kaka Kwa kunisaidia hapa, maana watu wanamihemuko ya ajabu. Hawajawai kuibiwa kupitia madirishani.
Alarm inasaidia kufukuza wezi kabla hawajakuvamia.
Kuhusu alarm kupiga kelele kama Kuna motion sensor hazitakiwi kufungua nje. Au kama utafunga nje inabidi update motion sensor za pet immune
 
Back
Top Bottom